Search results

  1. matokeotz

    What is a place to go for Students forums in Tanzania?

    Hello, Do you know any good forum site for students in tanzania to discuss and share notes, ideas?
  2. matokeotz

    Tengeneza Resume yako ya kirahisi hapa!

    Resume/CV Maker | Curriculum Vitae - Apps on Google Play
  3. matokeotz

    What is the average salary of software engineer in Tanzania? Wastani wa Mshahara wa sofware enjinia ni kiasi gani?

    Hello, I am wondering what is the average monthly salary for developer/software engineer in Tanzania? Junior/Senior levels? Je mshahara wa programa wa kompyuta ni kiasi gani kwa mwezi? wastani. asanteni
  4. matokeotz

    Pata uchambuzi wa mtokeo ya Form Four ya 2019

    We have added 2019 results with analysis. Angalia ujue wanafunzi wangapi walipa A kwenye kiswahili mwaka 2019, au shule mbili zilifanyaje ukiliganisha
  5. matokeotz

    Mwendokasi: Je naweza pata 'live' data ya location ya magari?

    Nimekuwa nawaza kuweka App ambayo itasaidia watumiaji wa mwendokasi kujua gari liko wapi, ila sijui hata kama wanao hizo data, na kama wanazo mtu napataje hizo data? Mchango wowote unakaribishwa
  6. matokeotz

    Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

    Habari, Nafikiria kumfungulia mdogo wangu biashara ya Bajaji ili apate kitu cha kufanya ila sijui biashara hiyo sana. Je, biashara ya kuendesha Bajaji inalipa? Kwa siku mtu anaweza pata kiasi gani? Bei ya Bajaji mpya kiasi gani? Iliyo tumika kiasi gani? Kingi chochote nijue? Asante sana
  7. matokeotz

    umewahi tembelea hii website?

    matokeo.co
  8. matokeotz

    Angalia takwimu ya matokeo ya NECTA four form 2018

    Kwa zaidi angalia - http://bit.ly/matokeoTz
  9. matokeotz

    Marian Girls vs St Francis girls NECTA 2018 CSEE

    Je wajua tofauti ya matokeo ya kidato cha nne kati ya hizi shule mbile za juu zaidi tanzania Pata uchambuzi hapa - St Francis - St. Francis Girls Secondary School information and analysis Marian girls - Marian Girls Secondary School information and analysis pata zaidi ya matokeo, pata...
  10. matokeotz

    Tupe wazo, wewe unaonaje hii app?

    Waungwana, Tunaomba maoni yenu kuhusu hii app hapa - http://bit.ly/matokeoTz Tunakusikiliza
  11. matokeotz

    Does NECTA's adding P or S in front of a school number means anything?

    I have been wondering about the way NECTA gives schools their number Do the P or S before a school means something? If so what do these two letters mean? Is there other letters used in front of school number ? see necta result page here with school number start with either P or S ? -...
  12. matokeotz

    Sikiliza Radio za Tanzania kupita app yetu

    Habari ndugu msomaji wa tovuti yako pendwa, Leo kuna habari nzuri ambayo nahitaji kukushirikisha leo hapa hapa. Habari yenyewe inaihusu Application ambayo sasa hivi umerahisishiwa zaidi na unaweza kusikiliza Kipindi chochote cha redio unachokipenda kutoka katika redio yoyote ambayo unaipenda...
  13. matokeotz

    Where do you get your Swahili songs?

    Hello me and my friends are wondering what is a best place to get swahili songs, old and new ones? Mimi na rafiki yangu, tunataka kujua sehemu gani tunaweza pata nyimbo za kiswahili, bongofleva, taarabu au dini? Note: Najua google itanipa jibu ila nataka tovuti ambayo inatoa nyimbo kila siku...
  14. matokeotz

    Somo gani wanafunzi wanafaulu zaidi kwenye matokeo ya form four?

    Pata uchambuzi wa jinsi gani wanafunzi wanafanya kwenye matokeo ya form four kutoka matokeo dot co Pia ukiwa hapo angalia jinsi wanafunzi wanavyo ongezeka pamoja na namba ya shule zikiongezeka
  15. matokeotz

    What do you think about our new exam results platform?

    Me and my team have been working tireless to fix what we see is NECTA lack of will to embrace new technology and make it easier for students to see their exam results. We have built a platform that takes data from NECTA and present it in a much better form. Angalia -- Bombo Secondary...
  16. matokeotz

    Mimi ni Matokeo na ni mgeni humu

    The Matokeo ProjectA data driven approach to improving education in TanzaniaHow many schools in Singida offer Mansory? Do subject offerings reflect the needed skill sets for a given region? These and many other questions around education in Tanzania are what our team set out to answer. The best...
  17. matokeotz

    Pata uchambuzi wa matokeo ya mithiani hapa - matokeo.co || Tupe feedback

    The Matokeo Project A data driven approach to improving education in Tanzania How many schools in Singida offer Mansory? Do subject offerings reflect the needed skill sets for a given region? These and many other questions around education in Tanzania are what our team set out to answer. The...
Back
Top Bottom