What is the average salary of software engineer in Tanzania? Wastani wa Mshahara wa sofware enjinia ni kiasi gani?

matokeotz

Member
Nov 30, 2016
30
10
Hello,
I am wondering what is the average monthly salary for developer/software engineer in Tanzania? Junior/Senior levels?

Je mshahara wa programa wa kompyuta ni kiasi gani kwa mwezi? wastani.


asanteni
 
Serikalini ni constant as always, sijui ni kiasi gani.

Ila private, ni wewe tu. You will be paid directly proportional to the challenges you solve.

Kuna software engineers wanalipa mpaka 15m, na ni wadogo tu below 30yrs
 
Serikalini wanaotumia TGS ni TGS D kwenye mashirika mingine ya umma inarange kati ya 1.3 M na 2.0 M hii ni kwa level ya kuanzia kwa mtu mwenye degree moja na bila hata na uzoefu wa kazi
 
Back
Top Bottom