Mwendokasi: Je naweza pata 'live' data ya location ya magari?

matokeotz

Member
Nov 30, 2016
30
10
Nimekuwa nawaza kuweka App ambayo itasaidia watumiaji wa mwendokasi kujua gari liko wapi, ila sijui hata kama wanao hizo data, na kama wanazo mtu napataje hizo data?

Mchango wowote unakaribishwa
 
Back
Top Bottom