Search results

  1. 6321

    Umewahi kupanga hit & run kwa binti lakini ikawa hit & trapped?

    Habari za weekend[emoji274] Week imekuwa nzuri sana kwa sisi wafatiliaji wa kesi mbowe, ni kesi nzuri sana n yenye kuvutia. Mwaka umeanza vyema sana na moja ya lengo langu mwaka huu mwishoni ni kumuoa mpenz wa moyo wangu. Jana wakati natoka mnazi mmoja kununua vitu vya dukani nikiwa n mama...
  2. 6321

    Njoo tuipe caption picha hii

    Habari wana JF Polen na uchovu wa shamrashamra za sikukuu hii kubwa duniani. Picha hii nimeipenda sana na inatafakarisha kuipa baadhi ya maneno. Karibu tuipe maneno picha hii 1. Unasema jana nilimwagia ndani 2. Unasema jana nilikuwa nagawa hela bar[emoji23] Haya karibuni Sent from my Infinix...
  3. 6321

    #COVID19 Mambo yanayofikirisha kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Binafsi ni miongoni wa watu waliochoma chanjo dose ya kwanza yapata miez mi 3 sasa. Kwa upande wangu binafsi sikuwa na mategemeo ya kuchoma chanjo hii ila kulikokea push factors ikabid nichome na nategemea kabla mwaka haujaisha nimalizie dose. Hadi leo hii sijaona...
  4. 6321

    Sababu gani ya ajabu iliyokufanya uachwe au uache

    Nawasalimu kwa JMT. Kwenye mapenzi kuna vimbwanga vingi sana, haswa pale mnapochokana. Mtu anaweza akakutafutia sababu yoyote ya ajabu ilimradi tu akumwage. Je, sababu ipi ya ajabu umewahi kutafutiwa au kumtafutia mtu ili uachane nae? Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  5. 6321

    Pugu kazimzumbwi reserve Forest

    Nawasalim wana JF. Kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka ningependelea sana kutembelea hifadhi ya pugu kazimzumbwi. Nahitaji mwenye kujua huduma zinazotewa pale na mchanganuo wa gharama kwa ujumla asanteni. Natanguliza shukurani.
  6. 6321

    Marafiki zetu mnakwama wapi?

    Habari za asubuhi wana JF. Rafiki ni mtu wa muhimu sana kwa kila mtu mwenye akili timamu. Rafiki anaweza akawa connection yako ya kwanza, itategemea urafiki wenu umeunganishwa na kitu gani. Mfano kama urafiki wenu ni wa ulevi basi viwanja vipya vyote mtaunganisha kuvifikia. Kama ni biashara...
  7. 6321

    Utotoni nilihisi nateswa na kunyimwa haki ya Kucheza

    Nawasalimu kwa JMT. Leo na share maisha yangu ya utotoni, kwa akili za utoton nilihis nateswa na wazazi lakin kuna kitu wamekipanda akilin mwangu. Enzi za utoto nikiwa primary had High school, nyumbani sikuwah kupewa nafasi ya kucheza kama watoto wengine, route za kwenda kutembea sikuwah...
  8. 6321

    Yanga Bingwa NBC ligi 2021/2022

    Nawasalimu kwa JMT Dalili ya mvua mawingu, Yanga yawabingwa ligi kuu 21/22 mapema tu hata mzunguko wa kwanza haujaisha[emoji23][emoji23][emoji23], Pia vikombe vyote chin yake atabeba. Bado kuthibitishwa tu. Asanteni Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
  9. 6321

    Ulikutana nae vipi?

    Wasalaam JF. Naomba nishare story hii iliyoanza 2018 mwez Dec kule Arusha. Kama kawaida mwez wa 12 safari za Moshi, Arusha hupamba moto, hivyo nilisafiri kuelekea Moshi Rombo. Pia nikaenda na Arusha kusalimia ndugu jamaa n marafiki. Kipind nikiwa Arusha kulikuwa n mgonjwa akiyelazwa Mnt. Meru...
  10. 6321

    Baba tafuta muda uwe unakaa na mtoto/watoto wako

    Mawasalimu kwa jina la JMT. Nalishuhudia hili jambo. Kumbuka ewe baba umri unaenda itafika kipindi hauna nguvu za kufanya kazi, utakuwa umestaafu na utakuta haukujenga ukaribu na wanao. Watoto ni faraja ya uzeeni kaa nae vizuri. Tunajua Majukumu ya baba ni kutafuta riziki ya familia lakin...
  11. 6321

    Hili jambo limenitatiza na kufanya niwe na wasiwasi za vijana wa iPhone

    Nawasalimu kwa JMT Katika mizunguko ya duniani nikichomwa n jua maeneo ya magomeni mwembechai, nikiwa dukani alikuja rafiki yangu niliyesoma nae O'level akiwa na mwanamke wa umri kidogo kuliko yeye, niliwahudumia vitu vya jumla kama 100k+. Basi tukabadilisha mawasiliano, akaniambia yeye...
  12. 6321

    Ewe Hawa epuka mambo haya kumwambia Adam

    Habari za Asubuh. Nimeona post hii kwenye account ya BBC swahili. Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hata hivyo siku hizi, ndoa nyingi huishia kuvunjika kutokana...
  13. 6321

    HILI JAMBO LIMENISHANGAZA SANA.

    Habari za j2. Wiki 2 zilizopita nilikuwa kisiwa cha mafia, katika refreshment ofisin. Nikamuaga mama yenu mdogo kuwa naenda huko kwa muda wa hizo wiki mbili. Ni kurudi salama kabisa. Sasa siku ya alhamisi nilikuwa najisikia vibaya nikaenda hospitali nikakutwa na UTI, hapo ndio mkasa ulipoanzia...
  14. 6321

    Hiki ni kipindi sahihi cha kuomba kazi NGOs

    Habari za jion. Napenda kuwa kumbusha vijana wenzangu, mwez 9-10 ndio mwaka wa fedha wa mashirika mengi yasio ya kiserekali huanza huanza, pia miradi mingi hufunguliwa. Hivyo jaribu kutuma maombi kadri uwezavyo, andaa cv yako vizuri tayari kwa kuomba kazi. Mwaka huu nilipata bahati ya...
  15. 6321

    Msaada wa bajeti na Maandalizi ya duka la Reja reja.

    Nawasalimu kwa jina la JMT Ningependa kufahamu budget ya kufungua duka la reja reja la mahitaji ya kila siku, duka la wastani, na maandalizi yake yanahitaji nini na nini. Karibuni mlete mawazo yenu hapa. Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
  16. 6321

    Ambao hatujawahi kuumizwa kwenye Mapenzi njoo hapa

    Nawasalimu kwa jina la JMT Mimi ni miongoni mwa vijana ambao mapenzi hayajawahi kuniumiza, nimewahi kupenda sana sio kwa mtu mmoja lakini kuja kwenye swala la kuumiza kwenye mapenzi sijawahi. Ili usiumizwe kwenye mapenzi jitahidi kuyapa sec or third part ya maisha yako, tumia akili kupenda na...
  17. 6321

    Maandalizi ya kwenda Burundi

    Nawasalimu kwa jina la Mwigulu Nchemba, naomba ujibu Tozo ziendelee. Ndugu zangu wana JF kama mnavyojua tozo zilivyojuu haswa ile ya kutolea, karibu kwenye uzi huu tusaidiane kujua tamaduni za kirundi na majina yao ili kila mmoja awe na prior information kuhusu nchi ya Burundi Karibuni sana...
  18. 6321

    Maandalizi ya kwenda Burundi

    Nawasalimu kwa jina la Mwigulu Nchemba, naomba ujibu Tozo ziendelee. Ndugu zangu wana JF kama mnavyojua tozo zilivyojuu haswa ile ya kutolea, karibu kwenye uzi huu tusaidiane kujua tamaduni za kirundi na majina yao ili kila mmoja awe na prior information kuhusu nchi ya Burundi Karibuni sana...
  19. 6321

    Buza vituo na maeneo yake

    Nawasalimia kwa JMT. Mimi naanza kwa kutaja vituo vya daladala vya buza, ili kwa wasiofahamu waanze kuwa na uelewa wa mwanzon. 1. Davis coner 2. Shule dovya 3. CCM/ Chama 4. Njia panda ya mwinyi/kwa mwinyi/barabara ya mwinyi 5. Abiola 6.police post makangarawe 7. Kwa mama/kwa mama kibonge 8...
  20. 6321

    Toa caption inayoendana na picha hii

    Wajomba nawasalimu kwa jina la JMT. Hii picha inasema mengi sana, pia ni picha nzuri na yakuvutia. Wajombaa nisaidien kutoa caption inayoendan nayo[emoji23] "MJOMBA MJOMBA nisikilize mjombaa acha na hao simba mjomba hiyo timu ya familia, Yanga ndio timu ya wananchi mjombaa, Mimi nakwambia...
Back
Top Bottom