Yanga Bingwa NBC ligi 2021/2022

Yanga Bingwa NBC ligi 2021/2022

6321

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
649
Reaction score
1,123
Nawasalimu kwa JMT

Dalili ya mvua mawingu, Yanga yawabingwa ligi kuu 21/22 mapema tu hata mzunguko wa kwanza haujaisha[emoji23][emoji23][emoji23], Pia vikombe vyote chin yake atabeba. Bado kuthibitishwa tu.

Asanteni
255712458980_status_3314e1d6414441e0acc07cc68da5c9d8.jpg


Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Sasa huo si udhamini wa jezi tu vunja bei na simba Tff nao wajitathimini hata kama wana njaa!
 
Back
Top Bottom