Ulikutana nae vipi?

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
649
1,116
Wasalaam JF.

Naomba nishare story hii iliyoanza 2018 mwez Dec kule Arusha. Kama kawaida mwez wa 12 safari za Moshi, Arusha hupamba moto, hivyo nilisafiri kuelekea Moshi Rombo. Pia nikaenda na Arusha kusalimia ndugu jamaa n marafiki.

Kipind nikiwa Arusha kulikuwa n mgonjwa akiyelazwa Mnt. Meru hospital, hivyo nilienda kumsalimia basi katika ugen wa kujua mazingira ya hospital hiyo, ndipo nilipo kutana na "TomBoy" binti masawe wa Kibosho.

Nafika mazingira ya hospital tu nikakutana na mdada sio mdada, mkaka sio mkaka. Kilichonichanganya nikuvaa kofika aliyoishusha hadi kwenye komwe lake, kifua kilikuwa kidogo sana. Mazungumzo yalikuwa hivi

Mimi. Mambo vip
Yeye. Fresh inakuwaje
Mimi. Mimi mgeni hapa na ndugu yangu amelazwa,
Yeye. Poa twende zetu n mimi naenda kumcheki mshua wangu.
Story iliendelea lakin kama kawaida sikulaza damu nikaomba namba wala hakusita kunipatia. Mawasiliano ya simu yaliendelea kama week baba yake akawa bado kalazwa, nikapa fursa ya kwenda kumuon hospitali mara 2.

Kawa bahati mbaya 20 Dec 2018 baba yake alifariki, wakasafirisha kwenda kibosho na mimi nikaon busara kwenda kumzika baba wa rafiki yangu(Bado hatukuwa n mahusiano). Tulipozika siku ya pili yake mchana nikageuza nikaenda rombo siku 2 3, kisha kurud chuga.

Nikaenda kutoa pole katika pole hizo ndipo nikaanza kumpenda, siku mpenda sababu ni "Tomboy" ila story yake ya kumpoteza mama yake alipo kuwa n umri wa miez 6. Nikajikuta namuelewa sana, nakupenda kuzurula naye jijin, huko kwa mromboo, panda kule ziw Momela, Shuka huko katiti, kata hiv kon kuitafuta Usa riva.

2019 tukaingia kwenye mahusiano, kusema kweli ilikuwa ngumu kuwa na hisia nae sababu hakuwa n swaga za kidemu demu. Kilichonivutia nikuniambia ni "BIKRA" nikasema hapa ndio penyewe sasa. Nikarud Dar, yeye akabaki kwao kuendelea n process za mirathi, nikamuunganisha n Mama yangu ambaye ni wakili kwa ajili ya Ushauri juu ya mirathi.

Baada ya kusex nae mara kadhaa nikaanza kuon mabadiliko kurejea kwenye udada, japo hadi sasa bado hajabadilika sana lakin anavaa kidemu demu. Ila Bado ana vimaneno vya kichuga chuga.

Itoshe kusema mwez wa 8 nilienda kibosho kwa ndugu zake wa upande wa baba kutoa mahari. Huyu huyu nimemchagua nikambadilisha nikamchagua kuja kuwa mama watoto wangu. Nakuhakikishia tafuta tomboy hautajuta, wako real hawachepuki.

Kijana funguka unadate na utamuoa huyo chuma ulete wako,

Ukitaka faida za kudate nae nitakupa. Hapo chini kwenye comments


"Mungu awabariki sana Tomboys"
images.jpg


Pitia huu uziShare uzoefu wako ulivyom-date na 'Tomboy'

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
7
 
Kabla ya kuwa nawe vp alikuwa na mahusiano mengine? Namaanisha na mwanamke mwezie na vp alikuwa bikra kweli au ilikuwa zuga
 
Aah!mi nlipatia kweny daladala..ilikuwa hyo hyo dec 2018...nlimsindikiza jamaa angu nyegez hapo alikuwa anaelekekea rombo pia..ile narud mkononi nmebeba K-vant bac yule manz akanielewa tu kwa kile kitendo cha kubeba huo mzigo na kuingia nao kwny gar bila kuhofia chochotee...nmeipiga piga weee..baada ya kuanza chuo bugando hapo ikaanza kuleta mambo ya kireee ikabid nipige chin
 
Tomboyz wapo vizur sana ata mbunye wanatoa kisela sana hawanag gumbu kama hawa wavaa madela na vikuku.
 
Back
Top Bottom