Maandalizi ya kwenda Burundi

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
486
1,000
Nawasalimu kwa jina la Mwigulu Nchemba, naomba ujibu Tozo ziendelee.

Ndugu zangu wana JF kama mnavyojua tozo zilivyojuu haswa ile ya kutolea, karibu kwenye uzi huu tusaidiane kujua tamaduni za kirundi na majina yao ili kila mmoja awe na prior information kuhusu nchi ya Burundi

Karibuni sana tujuzane kuhusu Warundi.

Ni mimi ndugu yenu "Ntibanzotozo"

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom