Kuna tetesi kuwa mbunge wa jimbo la Mwibara anayetetea nafasi yake kwa tiketi ya ccm mh. Kangi Lugola amewekewa pingamizi ingawa ameshinda kwa kishindo kikubwa sana kura za maoni. kama kuna mtu anayejua kwa undani zaidi atujuze wana jf.
Waumimi wa dhehebu A(jina limehifadhiwa) walijenga jengo la ibada kwenye kiwanja cha mmoja wa waumini. imefikia hatua wameamua wote kuhamia dhehebu (b) akiwemo na mwenye kiwanja.
Viongozi wa juu wa dhehebu (a) wanadai kama wamebadili dhehebu watoke kwenye jengo hilo maana ni mali ya dhehebu...
Tokea kipindi cha mjadala wetu wa babu wa Loliondo, nimekuwa kimya sana mpaka leo hii nimeamua kurudi JF. Mnanipokea? Nawakumbuka watu kama miss judith. jamani mpooo?
Tangu jana wapenzi wa mpira tulijua mechi hii inachezwa saa nane kamili. Mpaka sasa hatuoni kinachoendelea. Utachezwa muda gani? Mnisaidie ndugu zangu.
Ukiingia ndani ya basi unaweza ukakutana na maandishi, "abiria chunga mzigo wako". Na katika tiketi pia utakutana na mwandishi hayohayo na wanaongeza kuwa kampuni haitahusika na upotevu wowote wa mzigo. Nauliza, hii kweli ni kazi ya abiria? Vipi juu ya mizigo iliwekwa na konda kwenye buti? Mzigo...
Mke wangu ni mgonjwa wa jicho. Linauma tu halitoi matongotongo ile ni jekundu kwa juu. Ametumia Gentamycine eye drop na prednisolone eye drop lakini hajapata unafuu. Tiba gani inahitajika?
Ktk kanisa letu tuna vyombo vya muziki, Power mixer wtts 300, speaker 4, moja watts 400 kila moja, keyboard na vingine vidogovidogo. Je, ni solar watts ngapi inaweza kuendesha vyombo kwa muda mrefu.
Katika biashara ya nyama ni kawaida waislamu ndio wamepewa jukumu la kuchinja na bila muislamu kuchinja nyama hiyo ni kama hairuhusiwi kuuzwa. Hili limeleta mtafaruku hivi majuzi kati ya muuza nyama na muislamu mmoja baada ya muuza nyama kuchinja mwenyewe na huyo muislamu akataka hiyo nyama...
Waja JF mnisaidie. Kama siku mbili zimepita nilisikia magazetini kuwa mkoa fulani wamepatikana wanafunzi wengi wa shule za sekondari hawajui kusoma na kuandika. Hivi, wamefikaje sec.? Mtihani wa darasa la 7 walifaulu kwa njia ipi. Hainingii akilini ndugu zangu.
Jana nilitoa kero zangu dhidi ya TBC1 na leo wanaotazama taarifa ya habari ya saa 2.00 usiku mmejionea wenyewe. Taarifa inasomwa badala ya kuletewa picha inayohusiana na tukio, linakuja advertisement kisha wanajichanganya na kutulia kama dk 5 kabla ya kuendelea. What's the problem? Is it poor...
Mimi ni mteja wa Airtel kwa muda mrefu sasa tangu wakati wa celtel. Kuna mambo yanayonikera sana. Ukipiga simu wakati mwingine unaambiwa salio lako halitoshelezi hata kama una salio la tsh.1000. Au ukimpigia mtu unaambiwa namba unayopiga haipo. Wakati mwingine ukimpigia mtu, wewe mpigiaji...
Jana nikuwa jijini Mwanza nikapita viwanja vya furahisha nikaona matangazo na maandalizi ya mahubiri yatakayoanza j'tano. Kilichonivutia ni kwamba nikaona picha ya binti anayedaiwa kuwa alikufa na sasa amefufuka kwa maombi. Nauliza, hizi habari ni kweli au ni uzushi tu?
Muda sasa umepita mrefu kidogo bila kusikia habari za babu! Hivi, anaendelea kugawa vikombe? Na kwa nini hasikiki kwenye vyombo vya habari siku hizi kama zamani?
Katika miaka ya hivi karibuni mashindano ya umiss yamekuwa maarufu sana kuliko zamani. Makampuni mbalimbali wamekuwa wakidhamini mashindano haya kwa fedha nyingi sana. Waheshimiwa wengi wamekuwa wakihudhuria sana kushuhudia mashindano haya! Hivi, jamii au taifa inafaidikaje na haya mashindano...
Nilisikia mapema kuwa dunia ingeisha tr 21/05/2011. Nimejisahau nikajikuta nimefika tr 22. Naomba mniambie kilichotokea jana. Dunia iliisha jana? Nataka ukweli ili nichunguze mahala nilipo na nijue la kufanya.
Kuna jambo nimelishuhudia jana jioni nikashangaa. Mchungaji mmoja na waombaji wenzake walikuwa wanamuombea binti aliyepagawa mapepo nikasikia pepo linasema hivi, 'JAMANI KARIBUNI LOLIONDO KWA BABU MPATE KIKOMBE, HALAFU WEWE MCH. UNAMPINGA SANA BABU, WENZAKO WANAKUJA. KWA NINI? UNAJIFANYA UNA...
Sio mara ya kwanza nasikia wakristo na waislamu wanapigana kule Misri. Makanisa yanachomwa moto ingawa sijasikia msikiti umechomwa moto! Sasa ndugu zangu, huko Misri wanaoanza kuwachokoza wenzao ni akina nani? Ni wakristo au waislamu? Na chanzo cha vita hivi ni nini?
Kama sijasahau tu, babu alipoanza kutoa tiba, wengi walimshauri atoke pale aende mahali palipo na miundombinu safi ili iwe rahisi kwa watu kufika bila shida na kupata mahitaji yao bila shida, lakini babu alidai Mungu amemwambia akae palepale na akitoka pale, ile dawa haitafanya kazi. Leo...
Kama mnavyojua, CIA inaongoza kwa upelelezi na kuwa na siri duniani. US hawakuwapasha Pakistan habari ya uvamizi, hakuna mwandishi wa habari aliyejulishwa ili kujiandaa kuchukua picha ili kutovujisha siri, muda uliotumika ulikuwa mfupi sana kiasi kwamba wasingesubiri wachukua picha waje. Hii...
Kuna kitu kimekuwa kikinichanganya sana wakati wa kutuma email. To:hapa ni mahali pa kujaza email add ya yule unayemwandikia. Cc: tangu zamani ni sehemu ya kujaza add ya mtumd email. Sasa ,Bcc: tunajazapo nini? kabla haujafika kwenye subject na msg. Naomba ufafanuzi ndugu zangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.