Mwana mpotevu nimerudi jamani

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Tokea kipindi cha mjadala wetu wa babu wa Loliondo, nimekuwa kimya sana mpaka leo hii nimeamua kurudi JF. Mnanipokea? Nawakumbuka watu kama miss judith. jamani mpooo?
 
pole sana kwa kupotea wengi unawajua wamekufa zimebaki id zako wengi wa humu waliopo ni vijana na wanafunzi walitokea fb
 
Back
Top Bottom