Pepo awakaribisha watu kwa babu, Makubwaa

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Kuna jambo nimelishuhudia jana jioni nikashangaa. Mchungaji mmoja na waombaji wenzake walikuwa wanamuombea binti aliyepagawa mapepo nikasikia pepo linasema hivi, 'JAMANI KARIBUNI LOLIONDO KWA BABU MPATE KIKOMBE, HALAFU WEWE MCH. UNAMPINGA SANA BABU, WENZAKO WANAKUJA. KWA NINI? UNAJIFANYA UNA IMANI SANA?" baadaye yule pepo akashindwa na kumuacha binti huyo akawa mzima. Hii imekaaje? Pepo anahusikaje kuwakaribisha watu kwa babu? Au ana ushirika gani na babu? Au ni uongo wa shetani tu?
 
Hili jambo nimelishuhudia jana peke yangu, Mchungaji mmoja huko nanihiino anamwombea binti mmoja,!
"Baada ya hapo Sungura akatokea akiwa amebeba mtungi wa maji, akampa yule binti na kumwambia amfuate hadi kwa Bwana Fisi"!..walipofika wakakuta fisi amelala kitandani anaumwa...!
 
Babu nasikia kaoteshwa upya na bwana, kaambiwa apandishe bei kikombe. Babuuuu!! pesa tamu
 
Babu nasikia kaoteshwa upya na bwana, kaambiwa apandishe bei kikombe. Babuuuu!! pesa tamu
Johnny, Johnny.........Yess Papaaaa!:biggrin1:
Eating Sugar?...........Noo Papaaaaaa!:biggrin1:
Open your mouth......Mh mh mh!!!:biggrin1:
 
MLETA HABARI....sema ni wapi ilitokea watu tudhibitishe.........! kumbuka SHETANI NI BABA WA UONGO..... kudanganya kwake sunaaa
 
MLETA HABARI....sema ni wapi ilitokea watu tudhibitishe.........! kumbuka SHETANI NI BABA WA UONGO..... kudanganya kwake sunaaa

kweli, shetani ni baba wa uongo. Tukio hilo limetokea kijiji kimoja wilani Bunda. Sasa utathibitishaje? Tuliokuwa nao sio wana JF!
 
kweli, shetani ni baba wa uongo. Tukio hilo limetokea kijiji kimoja wilani Bunda. Sasa utathibitishaje? Tuliokuwa nao sio wana JF!
Basi usilete mambo ambayo hayawezi kuthibitika hapa, ni kama kutaka watu watoe kauli ya mambo yanayotokea chumbani kwako na shemeji!
 
Hayo ya kweli?Basi makubwa!Sasa kama pepo anakaribisha watu inabidi wakati wa maombi anayemuombea aseme,"PEPO HUSITOKE,NAKUAMURU PEPO KAA KWA BINTI HUYU!
 
BUNDA......mchungaji alikuwa nani?(namba ya simu)...wa kanisa gani? BUNDA bado ni kubwa sana....tarafa/kata/kijiji/mtaa/mjumbe
nakumbuka miaka ya mwanzo ya tisini kulikuwa na mikutano iliyobeba umaarufu mkubwa wa kumtangaza Bwana YESU ....
"THE BIG NOVEMBER CRUSADES" mojawapo ya kuthibitisha kuwa wale waliokuwa wanaombewa si zuga au feki alikuwa akitafutwa MJUMBE/BALOZI wa nyumba kumi pamoja na wazee maarufu wa eneo husika kuthibitisha UPONYAJI
Nawe ndugu fanya jambo katika hili
 
Sina haja ya kuuliza ilikuwaje,ni wapi.....
Hii tiba yote inatawaliwa na hao mapepo,hivyo lazima wakae mbele kuwakaribisha wateja wao.
Babu mmoja wa kweli hapa kwetu kesharudi kwa babu wa Loliondo lakini maradhi yake ndiyo kwanza yanashika kasi.
 
hivi hapa kinaongelewa nini hasa? shetani athibitishwe? dah hii naona sio area yangu. ngoja nijipitie zangu tu! sijui nimefikaje mapak huku chini, dah!
 
Kuna jambo nimelishuhudia jana jioni nikashangaa. Mchungaji mmoja na waombaji wenzake walikuwa wanamuombea binti aliyepagawa mapepo nikasikia pepo linasema hivi, 'JAMANI KARIBUNI LOLIONDO KWA BABU MPATE KIKOMBE, HALAFU WEWE MCH. UNAMPINGA SANA BABU, WENZAKO WANAKUJA. KWA NINI? UNAJIFANYA UNA IMANI SANA?" baadaye yule pepo akashindwa na kumuacha binti huyo akawa mzima. Hii imekaaje? Pepo anahusikaje kuwakaribisha watu kwa babu? Au ana ushirika gani na babu? Au ni uongo wa shetani tu?

Nagundua yafuatayo
1. Kuna wa2 hawapendi mchango mkubwa wa babu mfn hao wachungaji na wengineo wengi.
2. Huyo binti hakuwa na pepo alikuw anaigiza 2
3. Watu wameshaanza kuutambua ukwel wa roho mtaktf aliemuotesha babu ndo mana wanafanya kila liwezekanalo kuhakikisha anakata tamaa, lakini washindwa,
4. Wambea lazima washindwe kwani babu hajiongozi bali roho mtktf
5. Mchango wa babu unakubalika ndo mana anakutana na vikwazo/changamoto.
 
ahahahaha....mkuu nin tena mbaya...mbona umebadilisha mada.....hahahaha..hadithi za sungura na fisi..eti fisi akasema.tangu lini mnyama akaongea? hadithi za cheiicheiii shangaaziii...umeshtuka ee

Hili jambo nimelishuhudia jana peke yangu, Mchungaji mmoja huko nanihiino anamwombea binti mmoja,!
"Baada ya hapo Sungura akatokea akiwa amebeba mtungi wa maji, akampa yule binti na kumwambia amfuate hadi kwa Bwana Fisi"!..walipofika wakakuta fisi amelala kitandani anaumwa...!
 
Kwani babu kawakosea nini? mbna kila kukicha hamuachi kumsema huyu Mzee? japo yeye hajawahi kuwajibu wala kuwasemesha neno? naamini babu anatumia ule msemo wa Never argue with a fool.... hebu tuendelee na maisha yetu nae tumuache! Hao mitume wenu ndio siku hizi yamegeuka mahubiri juu ya kikombe cha babu, mbona ya kwao hatuyasemi? au mnadhani hayafahamiki? kumbuka hakuna neno la sirini litakalositirika!
 
hihihiiii yawezekana hata hilo pepo la kimagu,ashi .hapa mjino watu wanaishi kimjini mjini
kuna mama aliwahi kudhalilika kwa elfu hamsini mganga wa kimagumashi akawambia ajifanye kaanguka na ungo
kisha akachezea kichapo na kuaibika mwishowe akakiri lilikuwa dili lake na huyo sangoma,hata hao mitume na manabii
magirini,famba na magumashi juu yake
 
Nawaonea huruma wanaotoa mada ili watu wacheke pasipo kujali wanacho kisema kitawagharimu kutokana na ushahidi wa uongo,, lakini haya!!! Waweza chuma dhambi pekeyako ingawa walio kusikia na wakacheka ni wengi ila kwa hakika hakuna mwenye uwezo wa kujua uongo na ukweli wa babu na kama lingekuwa pepo lingesha shindwa siku nyingi kumbuka kuna makanisa na misikiti wanakesha kumuombea babu mabaya lakini wapi,, si wapo wahubiri mnao waamini siwamkemee ili aokoke?? Wangapi wamekemewa na wameshindwana maovu yao na wakaokoka??? Msijichumie dhambi kwa mambo msiyo yajua kwa kina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom