Solar watts ngapi inaweza kuendesha vyombo hivi?

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Ktk kanisa letu tuna vyombo vya muziki, Power mixer wtts 300, speaker 4, moja watts 400 kila moja, keyboard na vingine vidogovidogo. Je, ni solar watts ngapi inaweza kuendesha vyombo kwa muda mrefu.
 
Ktk kanisa letu tuna vyombo vya muziki, Power mixer wtts 300, speaker 4, moja watts 400 kila moja, keyboard na vingine vidogovidogo. Je, ni solar watts ngapi inaweza kuendesha vyombo kwa muda mrefu.

nikiwa ndio muuzaji wa hivyo vitu niambie vifuatavyo
1.utakuwa unatumia hivyo vitu kwa masaa mangapi?
2.How many Peak Sun Hours do you get per day(ukitaja ulipo naweza elewa)
3.hata hivyo vitu vidogo ulivyotaja vitahitaji matumizi ya umeme,ni vyema ukavitaja

lakini naomba utambue kuwa huduma za kudesign solarpower system si rahisi kama ufikilivyo,kwani hapo wewe umeongelea solar panel za ukubwa upi zinahitajika,bado kuna mambo mengi unahitaji kuyafahamu kwa mfano
ni lazima to design
1.charger controler
2.inverter
3.solar batteries
bado kuna taa mkuu

kwa haraka haraka ni lazima uwe na panel za watt zaidi ya 2000 maana ulivyotaja tu hapo juu jumla ni 2000watt
 
Back
Top Bottom