Vita kati ya waislamu na wakristo Misri, wanaoanza uchokozi ni akina nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita kati ya waislamu na wakristo Misri, wanaoanza uchokozi ni akina nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Stevemike, May 12, 2011.

 1. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sio mara ya kwanza nasikia wakristo na waislamu wanapigana kule Misri. Makanisa yanachomwa moto ingawa sijasikia msikiti umechomwa moto! Sasa ndugu zangu, huko Misri wanaoanza kuwachokoza wenzao ni akina nani? Ni wakristo au waislamu? Na chanzo cha vita hivi ni nini?
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Jee kuna haja ya kuuliza wanaowachokoza wenzao?
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  lengo lako nini.? jamani huyu asipewe jibu. si tuko salama waache wenyewe WAMISRI watajua nani kaanza na nani kaanzwa. , chuma kisamvu chako twanga muhogo wako , songa ugali ukishiba nenda kalale.
   
 4. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwani huna hata radio ya mkulima?
   
 5. next

  next JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Ukishajua nani alianzisha, then what????
  To hell with ur stupid mind!
   
 6. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kwa mara ya kwanza naona hoja yenye harufu ya udini inapuuzwa JF,hongereni wakuu.You are on the right track
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Halafu sijawahi kusikia wahindu vs buddha,wala wapagani vs wakristo,wala wapagani vs waislamu and the like,...kila siku ni hizi dini mbili kama si tatu i.e ukristo,uislam na uyahudi,.......i dont know,...anyway mimi pia ni muumini wa dini mojawapo wa hizo tatu na tata nilizo zitaja....ingawa ni kwa kurithi kutoka kwa wazazi wangu na mazingira niliyo zaliwa,......
   
 8. s

  seniorita JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Anayeanza fujo ni mtoa mada who enjoys religious tension....be more constructive in the society; to do so start with your life
   
 9. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #9
  May 13, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Leo mbona kuzuri kila mtu anapuuza upumbavu wa mtoa hoja hivi ndivyo 2navyotakiwa kuishi wa afrika
   
Loading...