Hawa wameingiaje sekondari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa wameingiaje sekondari?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Stevemike, Dec 13, 2011.

 1. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Waja JF mnisaidie. Kama siku mbili zimepita nilisikia magazetini kuwa mkoa fulani wamepatikana wanafunzi wengi wa shule za sekondari hawajui kusoma na kuandika. Hivi, wamefikaje sec.? Mtihani wa darasa la 7 walifaulu kwa njia ipi. Hainingii akilini ndugu zangu.
   
 2. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  tuwapeleke wapi sasa si wakakae tu huko seco za kata kuongeza idadi
   
 3. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  na jinsi mtihani wa kidato cha pili ulivyopunguzwa nguvu,yani form four leavers waliofeli watakuwa wengi ile mbaya.......
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  tumeweza,tumethubutu na tunasonga mbele
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kabisa!
   
Loading...