Mashindano ya umiss yanafaida kwa nchi yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashindano ya umiss yanafaida kwa nchi yetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Stevemike, Jul 9, 2011.

 1. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Katika miaka ya hivi karibuni mashindano ya umiss yamekuwa maarufu sana kuliko zamani. Makampuni mbalimbali wamekuwa wakidhamini mashindano haya kwa fedha nyingi sana. Waheshimiwa wengi wamekuwa wakihudhuria sana kushuhudia mashindano haya! Hivi, jamii au taifa inafaidikaje na haya mashindano? Kwa nini hizi fedha zisitumika kuleta maendeleo mengine?
   
 2. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naomba nirekebishe title. Nimekosea kidogo. Nilimaanisha yana faida gani kwa nchi yetu?
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Hakuna labda faida ni kwa waandaaji kuwauza mabinti kwa mapedejeee!
   
 4. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  umepatia
   
 5. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  hakuna faida yoyote labda kwa washiriki kupata jina na chance ya kujianika uchi uchi hadharani.
   
 6. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #6
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kampuni ya vodacom inaharibu fedha nyini sana kwenye mashindano haya wakati watoto yatima wamejaa kila kona ya TZ! Wana JF, naomba tushauri kampuni hii isiendelee kaharibu pesa hizi.
   
Loading...