Stevemike
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 117
- 15
Kama sijasahau tu, babu alipoanza kutoa tiba, wengi walimshauri atoke pale aende mahali palipo na miundombinu safi ili iwe rahisi kwa watu kufika bila shida na kupata mahitaji yao bila shida, lakini babu alidai Mungu amemwambia akae palepale na akitoka pale, ile dawa haitafanya kazi. Leo imekuwaje anataka kuhamia kwingine? Mungu amegeuka? Mbona biblia inasema Mungu si kegeugeu? Haya tuendelee! Miss judith, kipindupindu msisahau kushika keyboard.