Search results

  1. P

    Business plan ya ufugaji wa kuku

    1. KUKU WA KISASA WA MAYAI 2. KUKU WA NYAMA 3. KUKU WA KIENYEJI Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka taarifa zote za fedha. Unaweza kuitumia unapoandaa mchanganuo wako wa kuombea pesa mahali au kuendeshea...
  2. P

    Vita ya Ethiopia: Waafrika ni lini tutaacha unafiki?

    Mpaka sasa hivi sijasikia Taifa lolote la Kiafrika likitaja waziwazi kusimama na Taifa la Ethiopia katika vita yake na Waasi wa Tigray zadi ya kila mtu kufuata mkumbo wa Mataifa ya Magharibi kudai , OO... haki za binadamu zinavunjwa Tigray, Aby Ahmed akae meza moja na Waasisi kusuluhisha na hata...
  3. P

    Je, moto wa ajabu ardhini rombo ni dalili za kulipuka volcano iliyolala ya mlima Kilimanjaro?

    Kwa wakaazi wa Wilaya ya Rombo na maeneo mengine yote kuuzunguka mlima Kilimanjaro chochote kinachotokea kuhusiana na Mlima huu ni lazima kiwaguse moja kwa moja kutokana na maisha yao kutegemea miteremko yake kwa maelefu ya miaka iliyopita. Ingawa uwezekano wa Volcano ya mlima huu kulipuka...
  4. P

    INAUZWA Ofa ya kitabu cha Think & Grow Rich toleo la Kiswahili 2021

    Pata vitabu 2 kikiwemo kitabu cha FIKIRI NA UTAJIRIKE (THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION) kwa shilingi elfu 10 tu, Kitabu cha 2 ni, MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI, Offa hii haihusishi nakala ngumu Za vitabu hivyo. JINSI YA KUVIPATA Fikiri na Utajirike utakipakua kwenye mtandao wa...
  5. P

    Uvaaji wa barakoa usigeuzwe kuwa fasheni

    Mengi yamesemwa kuhusiana na hizi barakoa na hadi sasa hivi kuna baadhi ya watu hawajazielewa vizuri. Kuna wanaodai zile za kutengenezwa mtaani hazifai kabisa lakini kuna kundi la watu wengine wanadai hata hivyo zinasaidia kuliko kuacha kabisa kuvaa. Nilichokishuhudia leo kwa jirani yangu...
  6. P

    Kemia iliyotumika ajali ya msamvu, moto peke yake usingeweza kuleta maafa kiasi kile!

    Kila ninapoitafakari ajali hii ya moto iliyozima ndoto za wapendwa wetu zaidi ya 70 tena vijana ambao ni nguvukazi ya Taifa nashindwa kupata jibu.Ilikuwa kuwaje mtu anaungua mpaka anateketea hivihivi pasipo kuweza hata kukimbilia mahali palipo na mchanga au hata maji akajitosa humo? Pengine...
  7. P

    Sudani wanakitafuta kilichowapata walibya?

    Kinachoendelea Sudani wengi wanaweza wakafikiria kwamba Jeshi linastahili lawama, ni kweli yaliyotokea yanahuzunisha, hayawezi kufumbiwa macho wala kutetewa lakini swali ni je, nani wa kulaumiwa kati ya Jeshi na Waandamanaji wanaotaka kupewa madaraka ya kusimamia nchi? Itakumbukwa hata Libya...
  8. P

    Bado unasubiri kibali kutimiza ndoto zako? Soma dondoo hizi 7

    1.Usisubiri ruksa wala kibali Acha kuwa kama wanariadha au wacheza soka kusubiri kipenga(filimbi) ilie ndipo uanze kucheza mechi. Watu wengi linapokuja suala la kutimiza ndoto zao hawana tofauti na mwanamichezo anayesubiri filimbi au kengele ilie ndipo aanze jambo. Ulimwengu wa namna hiyo...
  9. P

    Saikolojia ya fedha na kanuni za mafanikio

    Kwanza hebu tufahamu maana ya neno lenyewe Saikolojia ni kitu gani, Saikolojia ni elimu ya akili au nafsi. Kwahiyo saikolojia ya fedha ni elimu ya jinsi tunavyoichukulia fedha ndani ya akili zetu. Saikolojia ya pesa ni kitu muhimu sana tunapozungumzia suala zima la mali na utajiri kwa sababu...
  10. P

    Pata vitabu bora kabisa vya biashara na ujasiriamali kwa punguzo la bei

    1. MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI Kitabu chenye kozi zote za biashara na ujasiriamali, jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara na mipango yenyewe halisi ya biashara mbalimbali. Unapata kila kitu ndani ya kitabu kimoja. Bei ni 10,000/=softcopy kwa njia ya email. 2. MAFANIKIO YA...
  11. P

    Kanuni ya kufanikiwa kifedha inajulikana, tatizo lipo wapi?

    Wajasiriamali Wengi na wale wote wanaotamani siku moja kuja kuwa wawekezaji wakubwa wangependa sana kupata njia ambayo wangeweza kuifuata hatua kwa hatua mpaka kuwafikisha kwenye mafanikio wanayoyatamani iwe ni maisha mazuri, utajiri au hata uhuru kamili wa kifedha. Lakini pamoja na njia...
  12. P

    Siri nyingi za mafanikio hujificha kwenye vitu vidogovidogo kama hivi

    Mafanikio katika jambo lolote lile maishani mwanadamu analolenga kufanya hutokea nje ya uwanja wake wa faraja, kwa kimombo wanasema, “outside of your comfort zone”,. Unataka kuwahi kazini, shuleni au kwenye biashara zako kwa lengo la kuzidisha mafanikio, ufanisi au kipato zaidi, ni lazima...
  13. P

    Waliofanikiwa zaidi maishani huamini vitu hivi vinne (4)

    Mamilioni ya watu kote dunani tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu wamekuwa na ndoto kila mtu na za kwake. Wapo walioweza kuzitimiza ndoto zao na vilevile wengi walikufa na kuzikwa na ndoto zao kabla hawajafanikiwa kuzitimiza. Hii inamaanisha kwamba kama ndoto au malengo yangelikuwa ni vitu vya...
  14. P

    Semina ya michanganuo ya biashara bunifu za kipekee 2018.

    Kwenye group la Whatsapp la MICHANGANUO ONLINE, ambalo tunakuwa na mafunzo ya semina kila siku usiku saa 3 mpaka saa 4, baada ya kuanza wiki iliyopita washiriki waliomba wapate kwanza muda wa kupitia materials(masomo) waliyopewa mara ya kwanza pamoja na vitabu kwani yalikuwa mengi mno halafu...
  15. P

    Njia nyepesi ya kujua kiasi cha mtaji wa kuanzisha biashara yeyote ile nzuri

    Katika blogu ya jifunzeujasiriamali, mara nyingi nimekuwa nikiulizwa swali hili na wasomaji wengi wa mtandao huo wakitaka kujua ni mtaji au mahitaji kiasi gani yanayotosha kuanzisha biashara maalumu mtu anayolenga kuianzisha(their specific business). Na mimi nimeshatoa majibu mara kadhaa kama...
  16. P

    Vitabu 3 mwaka huu vitakavyokupa mafanikio makubwa kimaisha

    Ni vitabu vya ujasiriamali, biashara na maendeleo binafsi vilivyoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Kila kimoja kina mada za kipekee, havifanani. Unaweza ukanunua kimoja, viwili au hata vyote vitatu. Vipo katika mifumo yote, vya karatasi, hardcopy na PDF, Softcopy 1. MICHANGANUO YA BIASHARA NA...
  17. P

    Madalali kila sekta nchini: Hivi hakuna njia ya kuwakomesha au kuwasimamia?

    Huwezi ukajua ubaya na kero za madalali mpaka siku utakapokuwa na shida ya kuuza au kununua kitu ambacho ni sharti kwanza kipitie mikononi mwa madalali. Siyo siku nyingi nilikuwa natokea mkoani Kilimanjaro nikiwa na mzigo ambao ilinibidi kutumia malori au fuso zinazotokea Moshi mjini kuja Dar...
  18. P

    Mabasi ya mwendo kasi Mbezi na Kimara yameleta machungu kuliko neema?

    Mabasi yaendayo kasi maarufu kama mwendo kasi jijini Dar es salaam yalipoanza rasmi mwezi may mwaka huu kila mtu hususani wakazi wa maeneo ya Kimara na Mbezi alishangilia. Walifahamu sasa shida ya usafiri bye bye. Lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda na serikali kutimiza azma yake ya kuziondoa...
  19. P

    Maajabu ya kufikiri mambo makubwa na ni kwanini uweke malengo makubwa maishani.

    Jamani mimi ninayeandika makala hii, ni mgeni humu Jamii forum, hii ni post yangu ya kwanza hivyo kama nitakuwa pengine nimekwenda kinyume na utaratibu, nadhani mtanisahihisha kwani badala ya kutumia jukwaa la kawaida la kujitambulisha mimi nimeona nijitambulishe hapahapa; Majina yangu ni...
Back
Top Bottom