Peter Agostino
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 105
- 226
1. MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI
Kitabu chenye kozi zote za biashara na ujasiriamali, jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara na mipango yenyewe halisi ya biashara mbalimbali. Unapata kila kitu ndani ya kitabu kimoja. Bei ni 10,000/=softcopy kwa njia ya email.
2. MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA
Hiki ni maalumu kwa mtu anayetaka kuanzisha au tayari anafanya biashara ya duka au biashara yeyote ile ya rejareja. Mwandishi anao uzoefu na biashara hii kwa miaka 12. *Ndani kina mfumo MPYA unaomwezesha mmiliki wa duka kudhibiti mapato bila kuibiwa na wasaidizi wake. BEI NI Sh. 5,000/=softcopy kwa njia ya email.
3. MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA.
Ni kitabu chenye hamasa kubwa hasa kwa vijana na mtu yeyote yule aliyekuwa njia panda kati ya kuanzisha biashara na kufanya ajira.
Kinafundisha namna bora kabisa ya kujiwekea malengo, dira na maono, matumizi sahihi ya muda, bajeti, nidhamu ya pesa, njia za kujipatia kipato nje ya ajira na mengine mengi. BEI YA KITABU 1 NI SH. 3,000/=softcopy kwa email.
Unaweza kujipatia vitabu hivi vyote au kimoja kimoja kupitia email yako, baada ya kulipia kupitia namba za simu 0712202244 au 0765553030, Tunakutumia kitabi/vitabu muda huohuo Ukinunua vyote vitatu unapata kwa punguzo la sh. elfu 15 tu, ofa ni ya wiki moja baada ya hapo itarudi elfu 18 kama kawaida.