Search results

  1. Mlengo wa Kati

    Chadema wanafanya jitihada za kununua Picha za kurushiwa mawe Dr Slaa kwa Mpiga picha wa ITV

    Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa...
  2. Mlengo wa Kati

    Mbunge wa bahi matatani tena kwa kashifa ya rushwa

    Ripoti yamhusisha na ufisadi Mfuko wa Jimbo Kamati ya Uhakiki wa Fedha za Mfuko wa Jimbo la Bahi Mkoani Dodoma iliyoundwa na Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, imemtia hatiani na kumuweka katika wakati mgumu Mbunge wa jimbo hilo, Omary Badwel, baada ya kubaini...
  3. Mlengo wa Kati

    Ndoto ya CHADEMA Kujitoa Mchakato wa Katiba Mpya

    CHADEMA walitanganza kujitoa rasmi kwenye Mchakato wa Katiba Mpya tarehe 30 April, lakini leo Tarehe 28 April kumekua na Mkanganyiko Mkubwa ndani ya Chama hicho hasa baada ya tamko la Profesa Baregu kada wa CHADEMA ambae ni Mjumbe wa Katiba Mpya kudai yeye anaona Taifa ni namba moja na Chama...
  4. Mlengo wa Kati

    Philip Mangula ateuliwa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Kamati kuu ya CCM iliyo kaa hapa dodoma imempendekeza Philip Mangula apigiwe kura na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM,Mangula amewahi kua Katibu Mkuu wa CCM na ameshika nafasi mbali mbali ndani ya Chama. Kwa sasa Philip Mangula ni Mashauri wa mambo ya siasa kwa Chama tawala cha Afrika ya Kusini...
  5. Mlengo wa Kati

    Tanesco wakata umeme wizara ya kilimo leo novemba 2

    Wizara ya kilimo leo wamekatiwa umeme na tanesco kwa kulimbikiza deni kwa mda wa miaka mitatu,kuna taarifa kuwa kuna ufisadi umefanyika kwani pesa ya kuendesha wizara hutolewa na serikali ikiwemo ile ya umeme!,ni aibu kwa serikali kufumbia ufisadi ndani ya wizara zake.
  6. Mlengo wa Kati

    Mbunge wa Bahi -Omar Badwel asema kesi yake ina mkono wa Takukuru na Wanasiasa.

    Mbunge wa jimbo la Bahi Omar Badwel amesema kesi yake ya rushwa inayo mkabiri imetengenezwa kwa lengo la kumuua kisiasa,amesema njama hizo zimepangwa na wanasiasa na Takukuru Makao makuuu,alisema kama kweli angekua amekula rushwa Chama chake CCM kingechukua hatua kali juu yake lakini kwa kuwa...
  7. Mlengo wa Kati

    Mgogoro Waibuka Ofisi za Chadema-Mwanza

    Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji wa Mwanza,lakini watu hapa wanasema walikuja kutoka mara kuvuluga mkutano wa CCM kwa kuzomea na...
  8. Mlengo wa Kati

    Mbowe,mrema,mbatia na maalim seif wanasumbuliwa na ulevi wa madaraka.

    Upepo wa Kuondoa viongozi mangi meza wa vyama sasa unaonekana kupamba moto. Ni dhahili kumekua na Udikiteta na Umangi meza wa kutaka kuongoza vyama vya siasa bila kikomo kwa kisingizio eti wao ndio waanzilishi wa vyama hivyo! Mrema mwaka jana amepambana na kumfukuza Katibu wake akikaataa mtu...
  9. Mlengo wa Kati

    ZoomTanzania.com ina boa na iache ukiritimba!

    Tovuti ya www.zoomtanzania.com ambayo imekua inatoa matangazo ya kazi imekua ina ficha anuani(email) za kazi husika ili muombaji aombe! Badala yake wameweka utaratibu amboa haueleweki eti utume kwenye kijedwali chao wa zoomtanzania halafu wao ndio wanawatumia sehemu husika walio tangaza kazi...
  10. Mlengo wa Kati

    Tusiishie Kusema hapana kwenye Ushoga,tuseme hapana hata kwenye raslimali zetu

    Katika jambo ambalo Serikali ya Tanzania imepaza sauti na Kuungana na Nchi nyingine kama Ghana,Malawi na Uganda ni Kusema hapana kwenye suala la Ushoga dhidi ya David Cameron Waziri Mkuu wa Uingereza! Kumbe Nchi za Kiafrika zina uwezo wa kusema hapana! Basi tuseme hapana imetosha kupora...
  11. Mlengo wa Kati

    UDOM kutovumilia ufuasi wa vyama vya siasa - Prof. Kikula

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Prof Idriss Kikula ameiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuwa sasa hawatakuwa na Msamaha kwa wale wote wanaotumiwa na vyama vya siasa kusababisha migomo ndani ya UDOM,amesema kuna wanafunzi wengine wapo kwa maslahi ya vyama vya...
  12. Mlengo wa Kati

    Maaskofu wamezibwa Midomo!

    Miezi mitatu iliyopita Tanzania ilishuhudia siasa za aina yake kutoka kwa Maaskofu hasa wa Kanisa Katoliki na Mapdre wake kutoa matamko kila siku. Ilikua ni vigumu siku ipite bila Kusikia Padre huyu wa TEC kasema hiki, mara wengine wakisema hawaogopi kufa wataendelea kusema tu. Ilikua ni...
  13. Mlengo wa Kati

    Kikwete Hongera kwa Ujenzi wa barabara! Ongeza zaidi Kasi!

    Leo Rais Jakaya Kikwete ameonekana mwenye furaha zaidi na kusema wanaobeza utekelezaji wa Serikali kuwaletea Watanzania Maendeleo wana agenda zao za Siri na wana macho lakini hawataki kuona kinachoendelea! Akifungua baarabara ya Lami ya Somanga amewataka wananchi waitumie barabara hiyo kwa...
  14. Mlengo wa Kati

    Mishahara makatibu wakuu wa CCM, Chadema

    Malumbano kati ya viongozi wa CCM na Chadema yamendelea kupamba moto, safari hii Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akitangaza hadharani mshahara aliodai ni wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Wilson Mukama, kwa madai ya kutaka kuthibitisha kuwa halipwi fedha nyingi. Kauli ya Nape...
  15. Mlengo wa Kati

    Vyombo vya Habari Vimeihujumu na Kuipuuza Chadema!

    Maandamano yanayoendelea mikoa ya Kusini yamekosa mvuto na msisimko na kile kinachoelezwa kupuuzwa na vyombo vya habari magazeti na Television. Ni gazeni moja tu la Tanzania Daima ndio limekua liki ripoti kila mara nalo hatoi ukurasa wa mbele! Tofaut na maandamano ya kanda ya Ziwa yalileta...
  16. Mlengo wa Kati

    Dr Slaa na Mbowe,Chadema kauli zenu zina Utata!

    Kauli za viongozi wa Chadema lazima ziangaliwe kwa Umakini mkubwa lasivyo Watanzania watazizoea na kushindwa kujua lipi ni kweli lisemwalo na viongozi hao! Mbowe akiwa Kyela alisema kuna taasisi moja ya utafiti ya nje(hata jina hakuitaja) kuwa imegundua asilimia 35 ya bajeti ya Tanzania inaliwa...
  17. Mlengo wa Kati

    CHADEMA yalipuliwa

    Mwenyekiti wa Chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila amesema CHADEMA hakipaswi kuaminiwa na Watanzania kwa kuwa ni chama chenye mafisadi na Wafanyabiashara haramu. Pia amefananisha maneno yanayotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa ni sawa na yaliyokuwa yakitolewa na mmoja...
  18. Mlengo wa Kati

    Dk. Slaa kidume

    *Kesi ya Chadema Arusha yaibua mapya *Mahakama yaelezwa Josephine mjamzito Na Eliya Mbonea, Arusha KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, anatarajia kupata mtoto kutoka kwa Josephine Mushumbusi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ilielezwa jana kwamba...
  19. Mlengo wa Kati

    Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

    Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo wa Dayosis of Central Tanganyika Mkoani Dodoma,amemjia juu Katibu Mkuu wa Chadema na chama chake kuwa wana wachezea Watanzania kwa kujijengea umaarufu rahisi(cheap popularity). Askof Mhogolo katika mahubiri ya Ijumaa Kuu alisema kitendo cha Dr Slaa kutaja...
  20. Mlengo wa Kati

    JK: Anachosema Nape ndio msimamo wa chama

    Rais Jakaya Kikwete jana kaweka wazi kuwa Anachosema Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuhusu mapacha watatu kutimuliwa kwenye Halmashauri Kuu ya Taifa kwa Tuhuma ya Ufisadi ndio Msimamo wa Chama na CCM haina Mchezo kwa hilo na akaongeza Wananchi watarajie kuona mambo makubwa juu ya...
Back
Top Bottom