Chadema wanafanya jitihada za kununua Picha za kurushiwa mawe Dr Slaa kwa Mpiga picha wa ITV

Status
Not open for further replies.

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
2,731
0
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,181
2,000
Huo ni uongo kwani Mwandiga alikuwepo mwanahabari mmoja tu??? Siku hizi hata simu zinarekodi HD halafi wewe unatuletea propaganda hapa!
 
Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,133
1,225
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100
Si uziweke wewe ? Mbona simple sana ...
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100

kwakuwa akili yako imedumaa lazima useme uwongo ambao hata mtoto mdogo atajua unadanganya
 
slufay

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,384
1,195
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100
Itv iko fear ciyo tbcccm wangeahirisha kurusha live walivyo na chuki na cdm rfiki yao ni zzk
 
Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
6,918
2,000
CDM wanahah sana, Hivi kweli kulikuwa kuna haja gani ya Slaa kwenda kweneye jimbo la Zitto na hal ya upepo ilivyo kwa sasa?
 
Dec 5, 2013
48
0
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100
Hivi toka uanze kutuburudisha na hayo mawe, wanaoyarusha ni watoto? Mbona Slaa hajafa maana kwa takribani week moja sasa umekuwa ukitwambia mawe mawe! Unauhakika ni mawe hayo au baraka? Au ni macho yako tu?
 
Khakha

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
2,983
1,500
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100

du, cdm wana hela gani ya kununua picha zote za mkutano huo. kwani ni itv tu ndo walikuwa wanaripoti? hata wananchi wenye vimchina waliopiga picha matukio mbalimbali nazo pia watanunua? wasaliti kajipangeni upya.
 
wabuyaga

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,684
1,225
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100

Mkuu je ni kosa? Basi kama ni kosa si ukalipoti Polisi jamani! Mbona wengi wetu hapa JF tunafuatilia mambo ya kutaka kujieleisha au kuelimishana, ila wewe unaleta ugoro! shame on you!
 
lane

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
894
500
pole,

naona maumivu yanaanza poole pole. Naona mipango yenu yote imevurugika.

afu vp hujaangalia ITV mkuu?

acha ushamba na kutumika kama con..m
 
lane

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
894
500
daaah ile nyomi ya leo ilikuwa bab kubwa.

mvua kubwa lakini wananchi bado wana hamu ya kumsikiliza dk slaa.

zile pikipik, magari na shamra shamra kigoma kaskazini,.jimbo kwa zitto hakika chadema ni mpango wa mungu. inakubaliaka mioyoni mwa watanzania
 
Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,562
2,000
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100

Kweli nimeamini kichwa cha nyoka hakiinjiki sufuria.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom