UDOM kutovumilia ufuasi wa vyama vya siasa - Prof. Kikula | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM kutovumilia ufuasi wa vyama vya siasa - Prof. Kikula

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlengo wa Kati, Aug 7, 2011.

1. Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati JF-Expert Member

#1
Aug 7, 2011
Joined: Feb 16, 2011
Messages: 2,733
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Prof Idriss Kikula ameiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuwa sasa hawatakuwa na Msamaha kwa wale wote wanaotumiwa na vyama vya siasa kusababisha migomo ndani ya UDOM,amesema kuna wanafunzi wengine wapo kwa maslahi ya vyama vya siasa hatawavumilia bila kuangalia wanatoka chama gani! Amewaomba Wabunge waelewe kuwa Udom ni sehemu ya elimu sio uwanja wa wanasiasa kuja kupotosha vijana na kusababisha migomo isiyokuwa ya lazima!
My take: Naunga mkono wanafunzi wadai haki kwa mambo yanayowahusu na sio kupotoshwa na wanasiasa!

2. Kwetu Iringa

Kwetu Iringa JF-Expert Member

#2
Aug 7, 2011
Joined: Jul 4, 2011
Messages: 359
Likes Received: 15
Trophy Points: 0

Kweli atakuwa na ubavu wa kuwafukuza mashabiki wa sisiemu!!!! Mimi siungi uamuzi huu wa serkali. Chuo kikuu ni mahali pa develop critical thinking, na pia wapo wanaosomea political science. Sasa practice yake itakuwa vipi?? Yaani itakuwa theoretical tu??

Serkali imeamua hivi baada ya kuona vijana wameipa kisogo CCM. TANU na CCM imeanza kuwatumia wanafunzi hata wa msingi ktk siasa toka enzi zile!!!

Wanafunzi wa chuo kikuu ni watu wazima. Ndiyo maana hawafukuzwi wakipata mimba. Ndiyo maana hawavai uniform. Etc, etc

3. Remote

Remote JF-Expert Member

#3
Aug 7, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 14,875
Likes Received: 1,562
Trophy Points: 280
Sasa si bora hiko chuo kgeuzwe nakuwa VETA tu.

4. Kimilidzo

Kimilidzo JF-Expert Member

#4
Aug 7, 2011
Joined: Jan 3, 2011
Messages: 1,346
Likes Received: 38
Trophy Points: 135
Labda mkuu utufafanulie hao wanafunzi wanapotoshwa vipi na wanasiasa. Kugoma ili upate mafunzo kwa vitendo na siasa ni vitu viwili tofauti, hata kama wanasiasa watakupamba vipi mwisho wa siku usipofanya mafunzo kwa vitendo utachemsha kwenye kazi. Take this too mkuu

5. SMU

SMU JF-Expert Member

#5
Aug 7, 2011
Joined: Feb 14, 2008
Messages: 7,927
Likes Received: 2,080
Trophy Points: 280
Wanakurupuka tu! Kunya anye kuku, akinya bata anaambiwa kahara!

6. Mr Suggestion

Mr Suggestion JF-Expert Member

#6
Aug 7, 2011
Joined: May 2, 2011
Messages: 605
Likes Received: 121
Trophy Points: 60
Vice alikuwa luhanga peke yake sidhani kama atapatikana kama yeye. Prof kikula yeye mwenyewe ni mwan magamba thats why yupo pale kulinda masilahi ya magamba wenzake, Je sisi ambao tunasomea FPA tuka practice wapi kuimbisha nyimbo wakati siku hizi hata SHIMIVUTA hakuna, any way sijui kama UDOM kuna FPA

7. Ngambo Ngali

Ngambo Ngali JF-Expert Member

#7
Aug 7, 2011
Joined: Apr 17, 2009
Messages: 3,194
Likes Received: 135
Trophy Points: 160
Professa anapovunja Katiba ya nchi. Kwa nini watu wanapenda kuzungumza bila kufikiri jamani?.

Ibara ya 20 (1 ) ya katiba inasema:

Kila mtu anastahili kuwa huru, bila kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani, na hasa zaidi kuanzisha au kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa madhumuni ya kuhifadhi au kuendeleza imani au maslahi yake au maslahi mengineyo.

Ibara ya 21 (1) na ( 2 ) inaongeza kuwa:

(1)Bila ya kuathiri masharti ya ibara ya 5, ya 39 na ya 67 ya Katiba hii na ya sheria za nchi kuhusiana na masharti ya kuchagua na kuchaguliwa, au kuteua na kuteuliwa kushiriki katika shughuli za utawala wa nchi, kila raia wa Jamhuri ya Muungano anayo haki ya kushiriki katika shughuli za utawala wa nchi, ama moja kwa moja au kwa kupitia wawakilishi waliochaguliwa na wananchi kwa hiari yao, kwa kuzingatia utaratibu uliowekwa na sheria au kwa mujibu wa sheria.

(2) Kila raia anayo haki na uhuru wa kushiriki kwa ukamilifu katika kufikia uamuzi juu ya mambo yanayomhusu yeye, maisha yake au yanayolihusu Taifa.

Kikula wake up!!!!!!!

8. G

Godwine JF-Expert Member

#8
Aug 7, 2011
Joined: Jan 15, 2010
Messages: 1,369
Likes Received: 45
Trophy Points: 145
Prof asidanganye watu kuwa ana ubavu wa kuwafukuza watu chuo kwa kuwa ni wafuasi wa chama cha siasa bali sheria inakataza kushiriki shughuli za kisiasa ndani ya eneo la chuo , shughuli za kisiasa ni kama kampeni au kugombea vyeo vya kisiasa

9. MtamaMchungu

MtamaMchungu JF-Expert Member

#9
Aug 7, 2011
Joined: Apr 10, 2011
Messages: 3,695
Likes Received: 507
Trophy Points: 280
Hawa Maprof. wa leo sijui wamesomea nchi gani? Hivi wale wahadhiri UDOM walivyogoma walishawishiwa na nani?

A living person who cant fight for what is rightfully his, is as good as a dead one.

10. B

Bajabiri JF-Expert Member

#10
Aug 7, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

timizen wajibu wenu muone kama wanafunz watagoma,,,,,,hebu jiulize kwanin akina samwel sitta waligoma????

11. kongomboli

kongomboli Senior Member

#11
Aug 7, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 154
Likes Received: 7
Trophy Points: 35

sasa mbona katiba inaruhusu mtu kushiriki public affairs,imekaaje hii?

12. m

migomo ya vyuo Member

#12
Aug 7, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 58
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
huyo kikula nadhani hatambui anachokizungumza!kwanza kikula ni zu-zu mimi nimesoma udom namfahamu na anapelekehswa sana na prof mlacha na ni miongoni mwa mafisadi na kila mambo yanapoharibika anashawishi chanzo ni mlacha ilihali yy ameshindwa kufuata kanuni. alisha niita na kunikanya kuhusu mimi kuwa chadema na nilimuuliza vp vijana wake mbona wapo na wanafanyakazi za ccm hata ndani ya chuo. huyu prof ni makunyio tu.

13. Ngambo Ngali

Ngambo Ngali JF-Expert Member

#13
Aug 7, 2011
Joined: Apr 17, 2009
Messages: 3,194
Likes Received: 135
Trophy Points: 160
Halafu wabunge nao eti wanampigia makofi profesa badala ya kuhoji uhalali wa yeye kuvunja katiba.

Tuna wabunge kweli jamani?????/

14. w

woyowoyo Senior Member

#14
Aug 7, 2011
Joined: Jul 24, 2011
Messages: 173
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
naunga mkono haja

15. Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga JF-Expert Member

#15
Aug 7, 2011
Joined: Sep 18, 2010
Messages: 8,418
Likes Received: 3,905
Trophy Points: 280
Mahasira yote ya Prof yamesababishwa na hiyo Avatar yangu hapo. Sina la kumsaidia, kama chama ni legelege tunachoma tu kadi zao hadharani.

16. Lamtongi

Lamtongi Member

#16
Aug 7, 2011
Joined: Jul 6, 2011
Messages: 38
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Huyo jamaa naona anaongozwa na matumbo yake na sio ubongo hata kidogo! Little crap

17. Azimio Jipya

Azimio Jipya JF-Expert Member

#17
Aug 7, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 3,370
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
Prof Idrissa Kikula,

With all due respect, seems you wanted to make a point ... But you lost it along ...may be they misco'ted you ...

...Otherwise ..come again ...Its all confusing ...

The students posesses no right for thier own right!!?? What the hell is that Sir!!!? You r trying to raise zombie or dwarf?

18. Lunyungu

Lunyungu JF-Expert Member

#18
Aug 7, 2011
Joined: Aug 7, 2006
Messages: 8,836
Likes Received: 75
Trophy Points: 145
Nakubaliana nawe lakini huu unafiki utaisha tu soon maana wataanza CCM tuone inakuwaje ?

19. t

tusichoke JF-Expert Member

#19
Aug 7, 2011
Joined: Apr 2, 2011
Messages: 1,286
Likes Received: 8
Trophy Points: 135
Anaonge ujinga tu,UDOM si chuo kikuu ,kila siku viongozi wa ccm wanaenda hapo kufanya nini,utawasikia wanazindua TAWI mara sijui kitu gani, mbona hawaendi UDSM na SUA? Wakuu wa vyuo wanatumika kisiasa zaidi kwa manufaa ya watawala.Umefika wakati sasa wanachuo waachwe wasome ,watawala watimize matakwa ya wanachuo kwa wakati mfano mikopo itoke kwa wakati,wanaostahili kwenda field walipwe bila ubabaishaji.

20. J

JENSENE Member

#20
Aug 7, 2011
Joined: Mar 7, 2011
Messages: 52
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

ni njema kuzungumza kwa uma wa watanzania vitisho vyo hivyo. Lakini yapasa kuangalia mapungufu makubwa yaliyopo hapo chuon kwani wanachuo si6 wapumbavu kiasi kwamba wakiambiwa wagome hugoma bila sababu. Kama kuvumilia magumu tunavumilia sana sasa ni mwisho. Kama mambo hayatarekebishìka kamwe migomo haitakwisha UDOM. Na pia hata JK azuiwe kuja kwarubuni viøngozi wa wanafunzi ili kuondoa mambo ya siasa vyuon.

Loading...