Search results

  1. Fredinho

    Kinachopenda ni moyo au ubongo?

    Kazi ya moyo ni kusukuma damu tu,kazi ya ubongo ni kuongoza mwenendo wa matukio mwilini ikiwemo kufikiri na kufanya maamuzi,kwa nini basi moyo unahusishwa sana na mapenzi?mara utasikia mtu anamwambia mpenzi wake moyo wangu wote nakupa,mara nilikupa moyo wangu ukautupa jalalani, mara sitampa...
  2. Fredinho

    Yu wapi Maunda Zoro?

    Staa huyo wa nyimbo kama niwe wako na mapenzi ni ya wawili amepotea sana kwenye tasnia ya muziki,sauti yake tamu na nyororo ilitakiwa iendelee kutuburudisha katika vipindi mbali mbali vya 'romantic time', macho yake yenye mvuto yalitakiwa yaendelee kutuliwaza katika tv zetu kwa video kali za...
  3. Fredinho

    Watumishi,serikali na mfalme Rehoboamu.

    Kipo kisa cha mfalme mmoja katika biblia aliitwa Rehoboamu,mfalme huyu alianza kutawala baada ya baba yake mfalme Suleiman kufariki.Mfalme Suleimani nyakati fulani katika ufalme wake alioa lundo la wanawake inakadiriwa kuwa 1000,na pia aliendekeza mambo ya anasa kwa kiwango cha juu,ili kufidia...
  4. Fredinho

    Ukipendwa na Kurwa na Doto unafanyaje?

    Kurwa na Doto ni wasichana mapacha wafananao sura ,umbile na sauti,hawafichani jambo,la kuvutia zaidi ni kuwa wote wanapenda vitu vya aina mmoja,tena hupenda kuvaa nguo za kufanana kila watokapo.Mizunguko yako kimaisha yakukutanisha na Kurwa kidume wewe warusha chambo,chambo yako yaunasa moyo...
  5. Fredinho

    Hii ya Yanga ni uoga ama ukomoaji.

    Yanga kwa sasa inamiliki makocha wanne bora afrika mashariki.Baaada ya uteuzi wa Lwandamila kuwa kocha mkuu wa Yanga klabu hiyo kongwe na maarufu nchini ilimteua aliekuwa kocha wake Hans Pluijm kuwa mkurugenzi mkuu wa ufundi klabuni hapo,majuzi hapa mchezaji na kocha wa zamani wa Yanga Charles...
  6. Fredinho

    Mambo ya ajabu ayafanyayo mwanadamu

    1. Unanunua ndizi mbivu halafu unaosha vizuri ganda la nje kisha unalitupa unakula kipande cha ndani,uliosha ganda kwanini? 2. Unanawa mikono vizuri kwa maji ya uvuguvugu kisha unajifuta kwa tissue halafu unakula wali maharage kwa kijiko mwanzo mwisho,ulinawa ili iweje? 3. Unatongoza mwanamke...
  7. Fredinho

    Sijaulewa wimbo huu wa shishi baby

    Nimekuwa nikisikiliza kwa muda wimbo wa Say my name wa Shishi baby lakini sikuwa nikielewa kile kipande anachoimba Barnaba anaimba vitu gani,Leo nimefanikiwa kupata lyrics na bado nimeendelea kushangazwa!!!! Hivi Barnaba alimaanisha nini alipoimba 'Ni shimo la wengi,ye ndo shimo la wengi kuweka...
  8. Fredinho

    Nimenasa kwa mchina

    Siku moja nilienda kung'oa jino kwenye hospitali moja hapa town kwetu,kwa bahati kumbe anayehusika na shughuli hiyo ni dada mmoja wa kichina nikapewa huduma nakuondoka,baada ya shughuli ile tulikutana tena kwa bahati kwenye mgahawa mmoja hapa mjini hapo ndo mazungumzo yakaanza,mazungumzo...
  9. Fredinho

    Darasa na 20%

    Hatua aliyofikia msanii Darasa imenikumbusha miaka kama 6 iliyopita wakati msanii 20% alipofikia kiwango chake cha juu mno kimuziki,pamoja na kuwa 20 pa alikuwa na nyimbo nzuri kama maisha ya bongo na mama neema lakini kilele chake cha mafanikio kimuziki kilifika rasmi mwaka 2010 baada ya kutoa...
  10. Fredinho

    Ukame unanitesa, vipi hali ya ukame pande zako?

    Hii hali ya ukame inanitesa wadau, mvua hazinyeshi pande hizi, mahindi yangu niliyopanda yamejikaukia, ukame huu mpaka lini? Vipi hali ya ukame pande zako mdau?
  11. Fredinho

    Ni sahihi kutumia laptop bila betri?

    Nguvu ya betri yangu ya laptop imepungua ghafla na sasa haiwezi tena kutunza moto zaidi ya nusu saa,rafiki yangu mmoja amenieleza kuwa ukitumia laptop ikiwa imechomekwa kwenye umeme bila kuondoa betri inachangia kuua betri,wadau ni sahihi kuondoa betri wakati mashine/laptop ikiwa kwenye umeme?
  12. Fredinho

    Ujauzito na utangazaji

    Sheria za vyombo vya habari Tanzania zinasemaje kuhusu wajawazito kutangaza? leo nimeshuhudia mtangazaji wa al jazeera akitangaza hali akiwa na ujauzito,lakini kwa hapa Tanzania sijawahi kuona mtangazaji yeyote akitangaza hali akiwa mjamzito,je wanakatazwa?Hairuhusiwi kupata ujauzito kwa muda...
  13. Fredinho

    Kuhusu majina ya Watoto wetu

    Jina kwa maana nyepesi ni neno au maneno yanayomtambulisha mtu au watu, mnyama,kitu au hata mahali,kila jina lina maana yake ambayo inatokana na asili ya lugha fulani.Yapo baadhi ya majina ambayo watoto wanapewa yana maana tata mfano mtoto anaitwa Mtumwa au Jalala.Haya ni majina pengine...
  14. Fredinho

    Nilichogundua ni hiki

    Baada ya kuangalia na kusikiliza vipindi mbali mbali vya television kufikia jana jumanne nimegundua mambo yafuatayo. 1. Dr.Tulia Ackson ni kiongozi ambae yupo vizuri sana kichwani na mwenye kujitambua, uwezo wake wa kujibu maswali chokozi kwa utulivu na busara ni bora pengine kuzidi viongozi...
  15. Fredinho

    Utaomba nini?

    Umelala usiku huku ukiwaza shida na matatizo kibao yanayokuzunguka ,halafu ghafla malaika Gabrieli anakutokea na kukuambia 'ndugu shida zako zimesikiwa sasa omba mambo matatu unayopenda nikufanyie maishani' utaomba nini?
  16. Fredinho

    Tukitukuze kiswahili chetu

    Nipo naangalia michezo ya olympiki, washindi wote wanajieleza kwa lugha ya nchi wanakotokea kwa furaha na kujiamini bila kujali wanahojiwa kwa kiingereza, kifaransa au kireno, halafu napiga picha jinsi watanzania tunavyodharau watu na viongozi mbalimbali wanaotumia kiswahili kama lugha ya...
  17. Fredinho

    Tunahamia Dodoma

    Tumetafakari sana,tumepekecha pekecha sana,tumebishana sana lakini hatimae familia yetu imeamua kufanya maamuzi magumu,tumeamua kuiunga mkono serikali yetu tukufu, tumeamua kuhamia Dodoma,wakazi wa Dodoma tafadhali mtutaarifu mahali gani pazuri pa kujenga na bei sahihi za viwanja.Tukutane Dodoma.
  18. Fredinho

    Yanga badilini jina kutoka Young Africans kuwa Adult Africans

    Nafikiri ni muda muafaka sasa timu yetu pendwa ya Young Africans ibadili jina ili isizidi kuonewa barani Afrika, jina Young Africans halina tofauti sana na toto afrika,so Yanga wanaonekana kama madogo flani hivi barani humu,napendekeza wajiite Adult Africans ili watishe kinomanoma.
  19. Fredinho

    Kwaherini yamenishinda!

    Kwaherini wapendwa maisha yamenishinda, niliyapenda ila hayakunipenda, salam zao bye.
  20. Fredinho

    Yatokanayo na Euro 2016

    Nimeshangazwa na kufurahishwa na juhudi za wachezaji wenye asili ya Afrika kuonekana wanapambana kwa nguvu zote na kuzipigania nchi "zao"za kuhamia katika michuano ya ulaya,ninachojiuliza mbona waafrika wetu hawaonekani kuwa na dhamira za dhati kuzipigania timu zetu za Afrika katika michuano...
Back
Top Bottom