Fredinho
JF-Expert Member
- May 18, 2016
- 971
- 1,160
Nafikiri ni muda muafaka sasa timu yetu pendwa ya Young Africans ibadili jina ili isizidi kuonewa barani Afrika, jina Young Africans halina tofauti sana na toto afrika,so Yanga wanaonekana kama madogo flani hivi barani humu,napendekeza wajiite Adult Africans ili watishe kinomanoma.