Fredinho
JF-Expert Member
- May 18, 2016
- 971
- 1,160
Nimekuwa nikisikiliza kwa muda wimbo wa Say my name wa Shishi baby lakini sikuwa nikielewa kile kipande anachoimba Barnaba anaimba vitu gani,Leo nimefanikiwa kupata lyrics na bado nimeendelea kushangazwa!!!! Hivi Barnaba alimaanisha nini alipoimba 'Ni shimo la wengi,ye ndo shimo la wengi kuweka taka,kuweka takataka' Kama kuna mtu anakielewa kipande hiki anijuze kinamaanisha nini!