Fredinho
JF-Expert Member
- May 18, 2016
- 971
- 1,160
1. Unanunua ndizi mbivu halafu unaosha vizuri ganda la nje kisha unalitupa unakula kipande cha ndani,uliosha ganda kwanini?
2. Unanawa mikono vizuri kwa maji ya uvuguvugu kisha unajifuta kwa tissue halafu unakula wali maharage kwa kijiko mwanzo mwisho,ulinawa ili iweje?
3. Unatongoza mwanamke miezi mitatu akikukubalia unafanya nae ngono ukiwa umevaa kondomu kwa nini? kama ulijua huyo mwanamke ni hatari kwa afya yako mpaka anahitaji kinga kwa nini ulipoteza muda wako kumtongoza?
4. Unapelekwa shule kusoma hutaki, utoro mwanzo mwisho,adabu hakuna, kujisomea hujisomei, matokeo ya NECTA yakitoka una ziro unahuzunika, unahuzunikia nini? kwani hukujua utafeli?
5. Unampa mimba binti wa watu akikuambia ana mimba yako, unamuuliza iliingiaje-hebu kuwa siriasi bwana!!!!
Ongezea ya kwako mdau.