Fredinho
JF-Expert Member
- May 18, 2016
- 971
- 1,160
Nimeshangazwa na kufurahishwa na juhudi za wachezaji wenye asili ya Afrika kuonekana wanapambana kwa nguvu zote na kuzipigania nchi "zao"za kuhamia katika michuano ya ulaya,ninachojiuliza mbona waafrika wetu hawaonekani kuwa na dhamira za dhati kuzipigania timu zetu za Afrika katika michuano mikubwa kama kombe la dunia wakati wengi wao wanacheza katika ligi bora tu huko majuu sambamba na hawa "waafrika wa ulaya"?hii roho ya upambanaji kwa hawa "waafrika wa ulaya" mbona haijionyeshi kwa hawa waafrika wa kwetu?