Search results

  1. Sci-Fi

    Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide-Kufungua Uwezo wa Biashara kupitia Ujasusi Bandia: Mwongozo Kamili

    Habari za Muda huu wakuu, Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide, kwa tafsi isiyo rasmi sana "Kufungua Uwezo wa Biashara...
  2. Sci-Fi

    WAAJIRI: This is interesting. Jifunze kitu

    "I have learned over the years if you want the best talents, stop looking for perfection, it does not exist. Resumes don't perform jobs. It's people. So hire people, not resumes!" --Brigette Hyacinth Tafsiri ya kawaida. "Nimejifunza kwa muda sasa ya kwamba, kama unahitaji talent bora zaidi...
  3. Sci-Fi

    ATCL na Hasara ya 60 Billion: Mtazamo Wangu

    Ushidani ni rahisi ukijua competitive advantage ya mwenzio na ukaamua kufanya kama yeye au zaidi yake. Ila nime elezea kwa suala la ATCL kupewa muda. Its just 5 years sasa, kuna Giants company za usafiri wa anga hazikuanza jana, ila baada ya muda zilianza ku make profit.
  4. Sci-Fi

    ATCL na Hasara ya 60 Billion: Mtazamo Wangu

    Habarini za wakati huu. Leo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali C.A.G, ametoa Taarifa yake na kukabidhi kwa Mh. Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hasan. Katika taarifa hiyo imeonesha hasara ya Tsh. 60 Billion zilizo sababishwa na shirika letu la ndege la ATCL...
  5. Sci-Fi

    Jielimishe mwenyewe, waelimishe wengine. #Agenda ya Kifo. Bill Gates sio mwenzetu Chanjo ya COVID-19 ni Mwanzo tu

    Unaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wako Chief, lakini let's get it straight from the Bible. Je, Biblia inasema "kufungamana kiroho" kama ulivyo mtazamo wako, au kuwekewa alama/chapa? Alama kwenye paji la uso na alama kwenye mkono wa kuume. Issue kubwa hapa ni Alama. Am not trying to be religious...
  6. Sci-Fi

    Jielimishe mwenyewe, waelimishe wengine. #Agenda ya Kifo. Bill Gates sio mwenzetu Chanjo ya COVID-19 ni Mwanzo tu

    Habarini wakuu wa jukwaa hili. Leo nimeona ni vema tushirikishane machache kuhusu COVID-19 lakini hasa kuihusu chanjo na maandalizi ya kumtawala binadamu. Hivi karibuni kwenye mahojiano na Reddit Bill Gates alisema kwamba “digital certificates” zitatumika kubaini ni nani aliyepokea chanjo ya...
  7. Sci-Fi

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habarini za wakati huu. Wakuu naomba kujua, hivi ni katika kitu hasa sisi kama taifa tunaweza kuwategemea wasomi wa nchii hii kutuvusha salama na kutupatia ufumbuzi kwa wakati? Mfano katika mambo ya Utafiti na Afya, tunao - The National Institute for Medical Research (NIMR) - Is the largest...
  8. Sci-Fi

    Iran has killed all spies

    63 American spies with Canadian Passport waliwatambua baada ya ndege kupaa? Yaani intelligence yao ilishindwa kutambua all 63 Spies before?? Okey, let say walishindwa, so after being informed kwamba katika ile ndege kuna spies the only option ilikua kuitungua ndege, not even asking the pilot...
  9. Sci-Fi

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naomba nisaidie Link ya A20 chief Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Sci-Fi

    MUST READ. TIPS FOR 2019.

    Too bad hajapata support kutoka kwa wazazi wake, but at least she's doing anachotaka kipenda.
  11. Sci-Fi

    MUST READ. TIPS FOR 2019.

    Habarini wanabodi, Hope weekend imeanza poa. Kuna moja mbili ningependa tukumbushane chap kabla hatuja umaliza huu mwaka ili next year iwe time nzuri ya kutekeleza kwa uzuri yale tutakayo panga this year. Ila katika yote, kuna some few things, just simple reminders. 1. Kuna ule msemo pendwa...
  12. Sci-Fi

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    I wish we could have private investigators.
  13. Sci-Fi

    God, Thank you for Everything. Ahsante sana!

    Sure mkuu, mapambano lazima. Na when you're serious about changes in your life, kupitia uncomfortable situations is the only way to growth.
  14. Sci-Fi

    God, Thank you for Everything. Ahsante sana!

    Heshima mbele wakuu. Katika Haya maisha Kuna mambo mengi ambayo sometimes yanatokea na tunaona kama vile 'yalitakiwa tu kuwa hivyo', like we deserve that life... Na hali hii inapelekea tuache kutambua kwamba things like that happen ili kutukumbusha kuwa kuna higher authority above that take the...
  15. Sci-Fi

    The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Kazi nzuri sana Chief. Naomba uni_tag pls for the remaining parts. God bless
  16. Sci-Fi

    Operation Jicho la Paka na dakika za Mwisho(with Wolf rules )

    Kazi nzuri sana Chief. Bravo
  17. Sci-Fi

    Uhalisia wa Fursa (Opportunities)

    Shida moja wapo ya ofisi nyingi tendaji za serikali wanafanya kazi kumfurahisha mtu na sio kwa manufaa ya umma. Watu badala ya kusupport jitihada binafsi za watz wao wako tayari kuzima jitihada hizo kisa hawaelewi kilichogundukiwa au wanadhani kinaweza kuwa na madhanara. Nadhani hakuna...
  18. Sci-Fi

    Uhalisia wa Fursa (Opportunities)

    Ni kweli kabisa na huwa sielewi sababu za serikali kuzima juhudi za wavumbuzi wa kitz, anyway, kama tz is not favorable ni vizuri kutafuta nchi nyingine. Mazingira rafiki ni muhimu sana kwa ukuaji wa vipaji.
Back
Top Bottom