MUST READ. TIPS FOR 2019.

Sci-Fi

Member
Jan 30, 2016
71
266
Habarini wanabodi,

Hope weekend imeanza poa. Kuna moja mbili ningependa tukumbushane chap kabla hatuja umaliza huu mwaka ili next year iwe time nzuri ya kutekeleza kwa uzuri yale tutakayo panga this year. Ila katika yote, kuna some few things, just simple reminders.

1. Kuna ule msemo pendwa wakujifariji pindi tunapoona mambo hayajakaa kawa, kwamba 'Rome wasn't built in a day' ila leo naomba tukumbushane kuwa, ni kweli Rome wasn't built in a day but we have to remember pia Rome wasn't built by one person. Your network is your net worth. As you're getting ready for a new year, evaluate your circle(your network) then fire and hire accordingly, huwezi expect kuishi maisha flan standard baadae kwa kuendelea kuishi kwenye circle inayo waza kwa ajili ya leo tu. Check your circle.

2. Kila unachokubali au kukataa kwenye maisha yako, you're teaching people how to treat you. Iko hivi, ikitokea for the first time umeanza kuuchekea ujinga be it kwenye relationship yako, kazi or anywhere, elewa kuwa unawaelekeza watu how to treat you and how to behave when around you. It's better kuwa social but kuwa social with standards and boundaries ni muhimu zaidi.

3. Wrong is wrong even if everyone is doing it and right is right even if no one is doing it. Usilazimike kuuza integrity/ dignity yako kisa kufuata crowd. Have your own life principles na zifuate. Nidhamu ni kuwa na self imposed restrictions, yaani, I will not do something even if it means staying alone. As long uko sahihi, stay true to yourself.

4. Jack Ma aliwasema kwamba, kuna kipindi alimchukia sana Bill Gates kwakua aliamini Microsoft wamechukua opportunities zote duniani. Lakini leo anamshukuru Bill Gates kwakua alinisaidia kufikiri nje ya box. The world is full of opportunities and possibilities. Huwezi jua how far you can mount kama utaendelea kulalamikia govt, wazazi, shule. Jifunze kutake full responsibility ya kila kinachotoea na kila ambacho hakitokei kwenye maisha yako. Kumbuka, kwenye mlima ndio kwenye mteremko inategemea tu na uelekeo. Inawezekana kabisa kutoka kimaisha ukiwa hapa hapa Tanzania.

5. Niliwahi kusoma kuwa, 'Kwakuvisoma vitabu, Daniel alielewa Miaka ambayo ili wapasa Israel kukaa utumwani, no more than 70, ila walikua tayari wamekaa miaka 400 if am not mistaken. Naamini kuwa, some of the problems you are passing through zimekwisha patiwa suluhisho na kuna mtu aliandika kwenye kitabu mahali, ila huwezi pata solution kwakua hujaamua kutafuta maarifa kwenye vitabu. Jifunze kusoma vitabu. Soma vitabu. Soma vitabu. Ujinga ni generational, if you don't know something now, you'll have nothing to share with your children, hivyo pia watoto wako watakosa cha kushare na wa watoto wao, same to watoto wa watoto wao. Iron sharpens iron. Soma vitabu vya uchumi, biashara, ujasiriamali n.k, jijaze maarifa. Maarifa hayo yatakua akiba kwa ajili ya kizazi chako.

6. Jack Welch aliwahi sema 'If you don't have a competitive advantage, don't compete.' Kwa wale mnatarajia kuanzisha biashara au shughuli yoyote ya kukuingizia kipato, usifanye chochote ambacho huja invest kukielewa zaidi. Kuelewa unachotaka taka kufanya it's in and out ni hatua moja ya ushindi. Usifanye kwakua kuna jamaa alifanya akafanikiwa. Just because it worked for someone else doesn't mean it will for you. Observe, learn learn and create your own recipe. Wekeza kwenye kujifunza, elewa then compete.

7. Lastly but not least.
a) Invest in yourself. Make it a priority. Jifunze lugha mpya, learn new skills etc
b) Hakikisha na jitahidi sana usirudie makosa ya wazazi wako.
c) Start a business. Start local, think global.
d) Think for yourself first. Huwezi msaidia mwingine kama huwezi jisaidia mwenyewe kwanza. It's not selfish, it's a matter of priority.
e) Decide if university/Collage is right for you or not if not go for vocational schools .
f) Jifunze kujaribu mambo mapya ambayo ni chanya kila mara unapopata nafasi.
h) Usipende madeni. Ukikopa elewa WHY unakopa and HOW utalipa and never change they WHY.
i) Hakikisha linawezekana leo liishe leo. Soma Sana Vitabu. Try to learn about New places, Safari as much as you can. Inafungua uelewa juu ya maisha and how other people do their stuff.

First it hurts you, then it changes you for the better, don't forget that.

Have a wonderful weekend. Wonderful Days ahead kabla ya 2019. God bless.
 
SUALA LINGINE MUHIMU,
"EPUKA 'PROCRASTINATION' KWENYE MAMBO YENYE TIJA".
 
One of the best late 2018 message, thank you Sci-Fi
 
7(e) a good advice for the most youth
Kibongobongo ni ngumu san kudecide, nina mfano wa binti mmoja aliyegoma kwenda advance na kafaulu vzr tu but vision yake ni kwenda diploma, hakueleweka na familia hasa baba yake. Binti alitia ngumu kabsa, baba mtu baad ya binti kutia ngumu na yeye akatia ngumu kumpa support, mpk sasa napoandika hapa huyo binti anasoma kwa shida san diploma wakat baba mtu ana uwezo mkubwa tuu kiuchumi.
 
Great thinker it depends also which country you are living/residing mazingira. Wewe angalia hali za nchi kama bongo. Utaanzaje kutoka? No opportunities hata ufanyaje kazi kwa bidii ni ngekewa tu and survival for the fittest.
 
Kibongobongo ni ngumu san kudecide, nina mfano wa binti mmoja aliyegoma kwenda advance na kafaulu vzr tu but vision yake ni kwenda diploma, hakueleweka na familia hasa baba yake. Binti alitia ngumu kabsa, baba mtu baad ya binti kutia ngumu na yeye akatia ngumu kumpa support, mpk sasa napoandika hapa huyo binti anasoma kwa shida san diploma wakat baba mtu ana uwezo mkubwa tuu kiuchumi.
Too bad hajapata support kutoka kwa wazazi wake, but at least she's doing anachotaka kipenda.
 
Back
Top Bottom