God, Thank you for Everything. Ahsante sana!

Sci-Fi

Member
Jan 30, 2016
71
266
Heshima mbele wakuu.

Katika Haya maisha Kuna mambo mengi ambayo sometimes yanatokea na tunaona kama vile 'yalitakiwa tu kuwa hivyo', like we deserve that life... Na hali hii inapelekea tuache kutambua kwamba things like that happen ili kutukumbusha kuwa kuna higher authority above that take the lead, and all the time inahitaji kuwa acknowledged.

Jana nilikua na piga story za hapa na pale na jamaa yangu, akaniambia kwamba siku mbili zilizopita alikua kwenye sherehe ya Baba na Mama yake wakisherehekea 'Anniversary ya ndoa yao kwa mwaka wa 60!!!' Nilishangaa sana kwa life span ya sasa na changamoto nyingi ila bado kuna watu wanadumu katika ndoa kwa muda wote huo.

Lakini pia aliniambia ndugu zake wote; (11) kaka na Dada still wapo hai, some wako well off wengine bado bado...ila ile kwamba bado wapo hai that was something kilicho wakutanisha kumshukuru Mungu pamoja na kujumuika kwenye Anniversary ya wazazi wao.

In everything we do, we should not forget kumshukuru sana Muumba coz somewhere on earth kuna mtu anahali mbaya zaidi kuliko tuyonayo sisi. Let's not forget kumshukuru Mungu kwa yale anayotutendea na wakati mwingine kwa yale ambayo hajatenda. Let's not take things for granted.

Kiukweli,
Kama hujawahi kuwa kwenye danger of wars, loneliness of prison or hunger you are better off than 500 million people in the world. Its enough reason kumshukuru Mungu asee

Kama unaweza kwenda kanisani, Msikitini au kwenye Temple au tu kufuata imani yako without persecution, you are luckier than 7 million people on the planet. Kuna ndugu zetu kwenye dunia hii ile tu kutaja kuwa wao wanaamini katika Imani flan hiyo ni penalty worth death.

If your basic needs are covered, you are richer than 75% of the rest of the world. Fikiria raia wa nchi kama somalia, Sudan, Iran ambao wao kula yao ni kwa Neema tu.

Lakini pia if you even have some savings, you are part of the 10% of the most prosperous people in the world. Kuna mtu tokea mwaka huu umeanza hadi unaisha hana tumaini la kuipata Tsh. 1000 yake binafsi.

Na, kama huyu rafiki yangu, kama na wewe umefanikiwa kuwaona wazazi wako wakizeeka pamoja katika ndoa rafiki yangu that something to Thank God for, you are almost unique. Rate ya kuachana saivi ni kubwa tena sometimes kwa sababu za ki-selfish kabisa.

Kuna raia ambao they never cry alone, mara zote they have shoulder to cry on, na kila mkihitaji msaada mnawatu wa kuwasaidia, let me tell you, sio watu wote wana nafasi kama yako, be thankful my friend and appreciate Muumba wako kwa that Grace.

Pia kama unasoma uzi huu this means you're doubly blessed, first someone has remembered you and lakini pia more than 2 million people on the earth cannot read.

Be grateful for all you have hasa for the gifts of life, pia wale ambao bado wazazi wenu wako hai, pls be grateful kwa hilo, share unachopata na wazazi wako, let them feel proud of you.

Asante sana Mungu. For the Gifts of Life. For the loving parents, good friends, thank you for everything even for the things I currently don't have.
 
Attachments

  • IMG_20180609_181243.jpg
    IMG_20180609_181243.jpg
    69.2 KB · Views: 31
Last edited:

dah kweli kiongozi umenena vyema
 
Thread nzuri mkuu!
Vp umeiandika ukiwa chini ya mti wa matunda?
Hebu nicheki kwa 0764622243 nikuuzie miche bora ya miti mbalimbali uneemeke.
Whatsapp pia, 0683011003
 
Back
Top Bottom