Search results

  1. HaMachiach

    Ukikosa pesa unakuwa na hali gani au mood ipi?

    Unanuna bila maelezo hahahaha
  2. HaMachiach

    Ukikosa pesa unakuwa na hali gani au mood ipi?

    Mimi nikikosa pesa Huwa najishangaa nakuwa mkali mkali sio kwa watoto hata kwa watu wengine wanao nizunguka huwa sielewi hii hali
  3. HaMachiach

    Natofautiana na Makonda, kutoa maoni si kuchafua!

    Nyie ndio mnamtukana Rais mtandaoni mmefikiwa
  4. HaMachiach

    Dumuzi aendelea kukitafuna Chama cha Walimu Tanzania

    Chama cha walimu Tanzania ndio chama kikubwa kuliko vyote vya Wafanyakazi hapa nchini japo leo hii kina sura tofauti mbele ya jamii. Yanayojitokeza hivi sasa ni muendelezo tu wa vurugu zilizoanza baada ya kifo cha aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Msulwa 2017. Hiki ndicho kipindi ambacho...
  5. HaMachiach

    Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

    Mbona sisi Budism na Hinduism hawajaweka dini yetu kwenye combination
  6. HaMachiach

    Kukamatwa kwa katibu mkuu wa CWT ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, education international yatoa tamko

    Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa...
  7. HaMachiach

    Bunge lapuuza maoni ya wadau, lajipanga kupitisha miswada mibovu

    We jamaa bogus sana mwashambwa wa wapi unatuaibisha
  8. HaMachiach

    Mzee wangu anakaribia kustaafu, uwekezaji upi ni mzuri?

    Elezea wewe sasa unalalamika na hauna solution
  9. HaMachiach

    Mzee wangu anakaribia kustaafu, uwekezaji upi ni mzuri?

    Awekeze UTT hapo ndio atapata faida
  10. HaMachiach

    Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Weka Liquid Sent from my Pixel 6 Pro using JamiiForums mobile app
  11. HaMachiach

    Morogoro Road kusimamisha magari muda mrefu

    Mwenezi anataka kupita yupo dodoma hivyo wanamsafishia njia Sent from my Pixel 6 Pro using JamiiForums mobile app
  12. HaMachiach

    Picha: Makombora ya Iran yalivyokichakaza kituo cha Israel

    Badae wakianza kubondwa muanze kusema pray for Iran mara waarabu subilini Sent from my Pixel 6 Pro using JamiiForums mobile app
  13. HaMachiach

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Nikikumbuka miaka hiyo jkt ni jkt kweli saivi imechuja sana Sent from my Pixel 6 Pro using JamiiForums mobile app
  14. HaMachiach

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Naomba fungua pm yako Sent from my Pixel 6 Pro using JamiiForums mobile app
  15. HaMachiach

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Nimeipenda Sent from my Pixel 6 Pro using JamiiForums mobile app
  16. HaMachiach

    Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

    Mifugo, mchele, mahindi, maharage nk Sent from my Pixel 6 Pro using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom