Search results

  1. C

    Uchaguzi 2020 Yanayojiri mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kupitia CCM, John Pombe Magufuli

    Magufuli akiwa Arusha Amesema ameguswa sana kutokana na mapokezi ya aina yake tangu alipokuwa akiingia mjini Arusha ameona majani ya masale yameinuliwa juu na hata hapo mkutanoni yapo, amesema anawapenda na ataendelea kuwapenda, na kwa sababu hiyo mapokezi hayo yatabaki na deni kubwa moyoni...
  2. C

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kampeni ya mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli Bagamoyo, Pwani. Kikwete asema haoni hofu ya CCM kushindwa

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo mkoa wa Pwani eneo la Bagamoyo na anaeongea sasa ni aliyekuwa mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Pia kwenye mkutano wa leo yupo Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. Ridhiwani kawaomba Wanachalinze wenzake kumchagua Dkt...
  3. C

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Kuelekea Septemba 7, 2020

    Leo, Septemba 6, 2020, Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Joseph Pombe Magufuli yupo safarini kuelekea jijini Mwanza kwa uzinduzi rasmi wa Kampeni za CCM mkoani humo. Fuatana nasi kwa updates za kinachojiri MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT...
  4. C

    Uchaguzi 2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  5. C

    Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Tunapenda kuwataarifu wanachama wetu na umma wa Watanzania kuhusu masuala yafuatayo: Mwenendo wa Kampeni za CCM Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, na Mgombea Mwenza, Ndugu Samia Hassan Suluhu, wameendelea kufanya kampeni katika maeneo mbalimbali nchini.. Hadi jana, tarehe...
  6. C

    Elections 2015 Ufafanuzi: Ilani CCM 2015-2020 (Sehemu ya I)

    Tutazingatia, kwa kuanzia tutarekebisha hili bandiko la kwanza. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza
  7. C

    Elections 2015 Ufafanuzi: Ilani CCM 2015-2020 (Sehemu ya I)

    Asante sana kwa maoni haya. Tutakuja na hoja nyingine juu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010.
  8. C

    Elections 2015 Ufafanuzi: Ilani CCM 2015-2020 (Sehemu ya I)

    Asante kwa ushauri, tutazingatia sana hili.
  9. C

    Elections 2015 Ufafanuzi: Ilani CCM 2015-2020 (Sehemu ya I)

    KARIBU KATIKA KUIJUA ILANI YA CCM 2015/2020 ILANI AMBAYO NDIYO MKATABA WAKO MWANANCHI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA DR JOHN POMBE MAGUFULI: ILANI YA UCHAGUZI YA UCHAGUZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015 KWA KUWACHAGUA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO, RAIS WA...
  10. C

    Elections 2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

    ILANI YA CCM KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015 1. Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani...
Back
Top Bottom