Search results

  1. EMMYGUY

    Kipi umewahi kudanganywa na mpenzi wako, ikapelekea kuvunja mahusiano hayo?

    Habari Mkuu! Natumaini u mzima wa afya, pole pia kwako wewe unayesumbuliwa maradhi. Naamini Mwenyezi Mungu atakuponya. Najua mara zote katika mahusiano ya kimapenzi kuna changamoto nyingi ambazo ni lazima uzipitie, kuna zingine zinakuimarisha na kukufanya uyafurahie mahusiano hayo na zingine...
  2. EMMYGUY

    Inaonyesha ni jinsi gani watu wa jahazi-clouds fm wanavyopenda maji yasiyopatikana mbinguni.

    Nimepita kwenye 'page' yao nikakutana na hiki, ikumbukwe kwamba jana ndo wamemtambulisha mtangazaji aliyekamilisha utatu mtukutu ndugu yetu Paul James na kuonekana kuwa na yeye ni miongoni mwa watu wapenda maji. T[emoji769]
  3. EMMYGUY

    Kukataliwa na wanawake wazuri

    Heshima kwenu wakuu, Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa nikichagua machaguo yasiyo halali yangu na kuishia kuachana maana ninayempenda hanipendi mimi. Sasa...
  4. EMMYGUY

    Tofauti kati ya Mchawi na Mshirikina

    Habari zenu waungwana. Mara nyingi nimekuwa nasikia na kuona watu wakibishana kuhusu tofauti ya mtu mshirikina na mtu mchawi, hawa watu wanatofautiana. Mwenye kufahamu kuhusu tofauti hizi mbili atupe ukweli wa mambo jinsi ulivyo pengine tukajua mambo mengi. Mkuu mshana jr na jichawi njooni pia...
  5. EMMYGUY

    Msanii Caroli Kinasha

    Habari wana jf! Huyu ni msanii wa hapa hapa nchini Caroli Kinasha japo si msanii maarufu ila nyimbo zake nazikubali sana. Kwa aliye na wimbo uitwao 'Ni Pendo' wa Caroli Kinasha anisaidie.
  6. EMMYGUY

    Ukitongoza msichana wa siku hizi jipange

    Wabari Wakuu! Maisha yetu yanazidi kubadilika kila kukicha, kuna mambo hapo mwanzoni hayakuwepo na kuna mengine pia yalikuwa yanatokea. Uolewaji wa wanawake katika jamii zetu kwa kipindi cha nyuma ulikuwa ni wa kufuata maadili na misingi ya jamii. Kadri ya ulimwengu unavyozidi kwenda ndio na...
  7. EMMYGUY

    Unahisi ni wa darasa la ngapi?

    Mwonekano wao tu, hatarii.
  8. EMMYGUY

    Chuo cha Sanaa Bagamoyo

    Habarini Wakuu! Kuna ndugu yangu anahitaji kusomea uigizaji (Actor), sasa nataka kujua Chuo cha Sanaa Bagamoyo vile kinatoa course na kuhusu pia gharama zao. Mwenye ufahamu wa hili tujuzane jamani, atakuwa amenisaidia sana. Nawasilisha.
  9. EMMYGUY

    Kumtongoza Mwanamke

    Habari Wakuu! Eti ni kweli mwanaume kumtongoza mwanamke au kutongozwa mida ya asubuhi ni laana? Ni kweli kwenye kutongoza kuna time limit? Wajuvi wa mambo hebu tusaidiane jamani.
  10. EMMYGUY

    Kumtongoza mwanamke asubuhi ni laana?

    Habari Wakuu! Eti ni kweli mwanaume kumtongoza mwanamke au kutongozwa mida ya asubuhi ni laana? Ni kweli kwenye kutongoza kuna time limit? Wajuvi wa mambo hebu tusaidiane jamani.
  11. EMMYGUY

    Mtambo wa kusafishia picha unauzwa shilingi ngapi?

    Habari Waungwana! Mwenye kujua mtambo wa kusafishia picha unanunuliwa sh. ngapi na huwa unaitwaje tujuzane jamani.
  12. EMMYGUY

    Uvimbe tumboni

    Habari Wakuu! Nina ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na tatizo la uvimbe tumboni upande wa kushoto, ni mda mrefu sasa. Tangu mwezi Novemba 2015 amekuwa akiumwa sana, na kuna siku alitapita damu mfululizo na kupelekea kwenda kuongezewa damu hospitalini. Kwa sasa hali yake inaendelea na unafuu...
  13. EMMYGUY

    Hujafa hujaumbika.

    Vile ulivyo mshukuru Mungu.
  14. EMMYGUY

    Ni Shida!

    Vipi kama ndo alikuwa mkeo then akawa hivi!!
  15. EMMYGUY

    Facebook Account haifungui

    Jamani waungwana mbona sipati Access ya facebook account yangu, au kuna tatizo? maana hata ninapoandika www.facebook.com sioni chochote kinacho appear. Msaada jamani.
  16. EMMYGUY

    Hofu ya safari

    Habari Wakuu. Nina tatizo limekuwa likinisumbua kila wakati, pindi nipatapo safari huwa najikuta natetemeka na kuwa na hofu na mashaka juu ya safari yangu. Niwapo stendi nasubiri usafiri mapigo ya moyo huenda kasi pamoja na tumbo kuvuruga. Ni mda mrefu sasa hichi kitu kimekuwa kikinisumbua...
  17. EMMYGUY

    Mgeni

    Nashindwa kupost
  18. EMMYGUY

    Usafi wa Mwili: Kwanini taulo huwa linachafuka?

    Habari zenu Wakuu! Tangu nimekuwa nikifanya usafi wa mwili kuna kitu kimekuwa kikinichanganya sana akili, maswali mengi nimekuwa pia najaribu kuyatafutia majibu lakini sijabahatika kuyapata majibu yake. Ulimewahi kujiuliza unapoingia bafuni kuoga na pindi umalizapo kuoga huwa unajifuta na...
  19. EMMYGUY

    JamiiForums ni Chuo

    Habari zenu Wakuu! Tupo katika siku chache zilizobaki ili tuweze kuukamilisha mwaka 2015, sina budi kumshukuru Mungu kwa uzima anaozidi kutujaalia japo tunapita katika changamoto nyingi. Nimeamua kuyasema ya Moyoni kuhusu JamiiForums jinsi inavyotoa elimu katika nyanja mbalimbali pamoja na...
  20. EMMYGUY

    Msaada: Kutuma ujumbe kwa njia ya MMS

    Habari Wakuu! Nahitaji msaada kwa anayejua jinsi ya kutuma ujumbe wa picha, sauti ama video kwa kutumia njia ya MMS, hii ni kwa simu ya aina yoyote ila ina uwezo wa kutumia MMS. Mwenye kufahamu anisaidie. Zangu shukrani natanguliza #Bandugu. EMMYGUY
Back
Top Bottom