Inaonyesha ni jinsi gani watu wa jahazi-clouds fm wanavyopenda maji yasiyopatikana mbinguni.

EMMYGUY

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
10,823
24,786
Nimepita kwenye 'page' yao nikakutana na hiki, ikumbukwe kwamba jana ndo wamemtambulisha mtangazaji aliyekamilisha utatu mtukutu ndugu yetu Paul James na kuonekana kuwa na yeye ni miongoni mwa watu wapenda maji.

T
 

Attachments

  • IMG_20190319_145646_135.JPG
    IMG_20190319_145646_135.JPG
    72.6 KB · Views: 72
  • IMG_20190319_145646_135.jpeg
    IMG_20190319_145646_135.jpeg
    79.3 KB · Views: 49
Hahaaaaa.......
Kumbe sie tusiokunywa beer hatuna akili ama!?

T
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom