Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Jan 24, 2016 #3 kumbuka walikuja shule wasafi, na usafi wakakaguliwa ila mazingira ya shule ndio yamewafanya wawe na hiyo poda.
kumbuka walikuja shule wasafi, na usafi wakakaguliwa ila mazingira ya shule ndio yamewafanya wawe na hiyo poda.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Jan 24, 2016 #4 Basi shule hiyo ni vema darasa la kwanza wakavaa uniform nyeusi tiiii
housegirl JF-Expert Member Jan 16, 2014 3,125 2,191 Jan 24, 2016 #5 Hakuna kwenda kucheza hadi hilo shati litakate
Z zefa JF-Expert Member Jul 29, 2015 440 297 Jan 24, 2016 #6 maskini hawa watoto wangefanye kama shule halina madawati halafu elimu bure duh serikali litazame hili kwa jicho pana
maskini hawa watoto wangefanye kama shule halina madawati halafu elimu bure duh serikali litazame hili kwa jicho pana
C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 Jan 24, 2016 #7 "The innocence of children." They are just enjoying life.
exit JF-Expert Member Feb 14, 2013 1,670 1,808 Jan 24, 2016 #8 Chapa Nalo Jr said: Basi shule hiyo ni vema darasa la kwanza wakavaa uniform nyeusi tiiii Click to expand... Uniform nyeusi ndio itakuwa majanga zaidi. Wapewe za rangi ya cream ndio zitaendana angalau.
Chapa Nalo Jr said: Basi shule hiyo ni vema darasa la kwanza wakavaa uniform nyeusi tiiii Click to expand... Uniform nyeusi ndio itakuwa majanga zaidi. Wapewe za rangi ya cream ndio zitaendana angalau.
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Jan 25, 2016 #12 Th Name said: LA kwanza Click to expand... Hata kama ndio iwe hivyo?
mankachara JF-Expert Member Sep 27, 2013 6,146 3,463 Jan 25, 2016 #13 Ilipiigwa 2011 pengine saivi wamebadilika sana
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 Jan 25, 2016 #14 Totos Boss said: Hata kama ndio iwe hivyo? Click to expand... Hapana
I ikashi JF-Expert Member May 5, 2015 395 158 Jan 25, 2016 #15 Grade 1 msukule class. Aibu kwa taifa!