Msaada: Kutuma ujumbe kwa njia ya MMS

Msaada: Kutuma ujumbe kwa njia ya MMS

EMMYGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
11,194
Reaction score
25,535
Habari Wakuu!

Nahitaji msaada kwa anayejua jinsi ya kutuma ujumbe wa picha, sauti ama video kwa kutumia njia ya MMS, hii ni kwa simu ya aina yoyote ila ina uwezo wa kutumia MMS. Mwenye kufahamu anisaidie.

Zangu shukrani natanguliza #Bandugu.


EMMYGUY
 
Bongo sijui kama kuna huduma hiyo labda kwenye latest network za Halotel. Ila voda Na airtel hawana hiyo service
 
Back
Top Bottom