Msanii Caroli Kinasha

EMMYGUY

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
11,094
25,336
Habari wana jf!

Huyu ni msanii wa hapa hapa nchini Caroli Kinasha japo si msanii maarufu ila nyimbo zake nazikubali sana.

Kwa aliye na wimbo uitwao 'Ni Pendo' wa Caroli Kinasha anisaidie.
 
Habari wana jf!

Huyu ni msanii wa hapa hapa nchini Caroli Kinasha japo si msanii maarufu ila nyimbo zake nazikubali sana.

Kwa aliye na wimbo uitwao 'Ni Pendo' wa Caroli Kinasha anisaidie.
Jina ni Carola Kinasha. Mmasai wa Tanzania. Huo wimbo upo youtube
 
Jina ni Carola Kinasha. Mmasai wa Tanzania. Huo wimbo upo youtube
Mkuu, nimeangaza pote hadi youtube lakini siupati, hebu nisaidie hata linki ili niupate. Utakuwa umenisaidia sana Mkuu.
 
Nenda MySpace. Com search for carola kinasha kwenye tab ya songs utaukuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom