Mtambo wa kusafishia picha unauzwa shilingi ngapi?

EMMYGUY

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
11,094
25,336
Habari Waungwana!

Mwenye kujua mtambo wa kusafishia picha unanunuliwa sh. ngapi na huwa unaitwaje tujuzane jamani.
 
Mimi ninao hiti, nauuza 250000,dukani ni laki 3.5 kama unauhitaji tuwasiliane 0757359516
 
Habari Waungwana!

Mwenye kujua mtambo wa kusafishia picha unanunuliwa sh. ngapi na huwa unaitwaje tujuzane jamani.

Hawa jamaa wanakudanganya na vi printer vya laki 2 na nusu

Pili ujue saizi sio tena eti mtambo maana enzi za mtambo ziliisha, picha za negative zile ndio zilikuwa na mtambo mkubwa hizi za digital camera ikiwapo simu zisizohtaji negative (digital) printer zake nikuanzia mil 2.5 milioni tatu utapata nzuri tu ya kutosha

Inakuwa ndogo frexible unaweza kubeba na ndizo zinatumika sana kwenye photo studio nyingi walizonazo wahindi (maana ndio wengi wanafanya hii busines).

Dar pia zinapatikana nimewai ziona duka moja ila baada ya kutafta sana.

Ina picha kuanzia ndogo size ya stamp mpk ukubwa wa A4
 
EmmyGuy inategemea machine za kampuni gani ni zuri na matoleo yake, kwa uchache kuna kampuni mbili zilizo nzuri
1. Noritsu
2. Fuji
Namba moja ndiyo nzuri kwa maelezo zaidi ni pm
 
EmmyGuy inategemea machine za kampuni gani ni zuri na matoleo yake, kwa uchache kuna kampuni mbili zilizo nzuri
1. Noritsu
2. Fuji
Namba moja ndiyo nzuri kwa maelezo zaidi ni pm
Sawa Mkuu.
 
Wakubwa mimi nataka photo printer
Yaani inayoweza kusaficha picha za kawaida tu sio kina A4
Je naweza kupata kwa sh ngap
 
Back
Top Bottom