EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,094
- 25,336
Habari zenu Wakuu!
Tangu nimekuwa nikifanya usafi wa mwili kuna kitu kimekuwa kikinichanganya sana akili, maswali mengi nimekuwa pia najaribu kuyatafutia majibu lakini sijabahatika kuyapata majibu yake.
Ulimewahi kujiuliza unapoingia bafuni kuoga na pindi umalizapo kuoga huwa unajifuta na taulo, kuna vitu viwili hujitokeza:-
1.Mwili kuendelea kuwa na uchafu japo umemaliza kuoga na kuufuta na taulo.
2.Kwanini taulo huwa linachafuka pindi unapojipangusa kuuondoa majimaji mwilini.
Nahitaji kueleweshwa jamani juu ya haya mambo, msaada wa kimawazo.
@EMMYGUY

Last edited: