Chuo cha Sanaa Bagamoyo

EMMYGUY

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
11,094
25,336
Habarini Wakuu!

Kuna ndugu yangu anahitaji kusomea uigizaji (Actor), sasa nataka kujua Chuo cha Sanaa Bagamoyo vile kinatoa course na kuhusu pia gharama zao.
Mwenye ufahamu wa hili tujuzane jamani, atakuwa amenisaidia sana. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom