EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,094
- 25,336
Habari Wakuu!
Nina ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na tatizo la uvimbe tumboni upande wa kushoto, ni mda mrefu sasa.
Tangu mwezi Novemba 2015 amekuwa akiumwa sana, na kuna siku alitapita damu mfululizo na kupelekea kwenda kuongezewa damu hospitalini.
Kwa sasa hali yake inaendelea na unafuu kidogo maana amekuwa akilalama tumbo kumuuma pamoja na kujaa kama gesi, pamoja na nguvu kumuishia japo dawa anatumia mpaka sasa.
Nahitaji ushauri wenu ili nimsaidie ndugu yangu.
Zangu shukrani natanguliza.
MziziMkavu pia karibu kwa mawazo yako.

Last edited by a moderator: