Search results

  1. Don san tan

    Changamoto ya kuona majina ya Sensa kwenye mitandao yetu nini tatizo?

    Mfano Majina ya Sensa yametoka kila Mkoa na wilaya na Halimashauri zake. lakini ukifungua yanakataa. Wataalamu tunaomba msaada wenu na majibu Yenu kitaalamu.
  2. Don san tan

    Ofisi na Taasisi za Umma zimekuwa ni Taasisi za unyanyapaa Sana hasa kwa Watu wenye Ulemavu

    Kuna Jambo linauma Sana hasa kwenye Jamii zetu tunazoishi. Ofisi za Taasisi za Umma zimekuwa ni Taasisi za unyanyapaa Sana hasa kwa Watu wenye Ulemavu. Unakuta wewe mlemavu unakuja kutaka Huduma kwenye ofisi hizo unakuta kabla hujasalimia Mkuu wa Taasisi anakuambia leo sina Hela. Kabla hata...
  3. Don san tan

    Riwaya za Kijasusi

    RIWAYA: HUJUMA 1 MTUNZI: richard R. MWAMBE UTANGULIZI Tanzania inasonga katika nyanja ya sayansi na teknolojia, inapate uwezo wa kutengeneza silaha kubwa na za kisasa, vitu mbalimbali vya thamani na weredi wa hali yajuu. Meli kubwa ya kivita ya JW inatekwa na maharamia wakiwa na lengo la kupora...
  4. Don san tan

    Naomba nikiri Tu kuwa Huyu Mgombea tuliyemsimamisha Huko Buyungu ni mzee

    Ukweli usiopingika Huyu Mgombea tuliyemsimamisha kugombea Huko Buyungu ni kikongwe na anahitaji kupumzika baada ya kulitumikia Taifa kwa Muda mrefu kama Mbunge na Waziri. Naomba tusirejee tena kosa kama hilo la kuwapitisha wazee. Wacha wapumzike wale Pension fund Zao. Hivi huko hakuna kijana...
  5. Don san tan

    CHADEMA msituchokoze

    Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za...
  6. Don san tan

    Nashukuru sana kilio changu cha ajira kwa walemavu kimesikika

    Tutafakari kuhusu ukosefu wa ajira Tanzania Hii ni mada niliyoianzisha juzi, nashukuru sana kwa kuweza kuisikiliza na Ajira kwa watu wenye Ulemavu za sisitizwa na Wizara husika. Sasa kazi kwa Waajiri kutumia Sheria katika suala la kuwaajiri watu wenye Ulemavu nchini. Wachangiaji wa uzi huo...
  7. Don san tan

    Tutafakari kuhusu ukosefu wa ajira Tanzania

    Habari ndugu zanguni, Wasomi wenzangu ambao tumetumia muda mrefu kukaa darasani tukitegemea siku moja Serikali yetu itatusaidia kupata ajira au Kutuwekea mazingira mazuri ya kujiajiri. Lakini cha ajabu ajira wanapata tu wale wanofahamika kwa wakubwa, wanyonge tumebaki kusomea ualimu na ualimu...
  8. Don san tan

    Ndugu Hussein Bashe ni hazina iliyosalia katika Chama chetu

    Ndugu Hussein Bashe ni hazina iliyosalia katika Chama chetu, Tena anauwezo mkubwa kuliko Wabunge wetu wengi ambao ni masalia ya awamu zilizopita ambapo Wabunge waliokuwa wanapita kwa kupendelewa ama kwa sababu ya Pesa Zao (Rushwa) au kwa kisingizio kuwa ni mtoto wa Mkubwa mstaafu. Naomba Chama...
  9. Don san tan

    Ushauri wa bure kwa CHADEMA

    Naomba wajikomboe kwanza wenyewe kabla hawajaja na ngonjera yao ya kuikomboa Tanzania kama wanavyodai wenyewe. Yaani wenyewe majungu tu ila wanakimbilia kusema wanataka kuikomboa nchi hii. Kweli mimi nakubaliana na kauli ya mheshimiwa Mkapa alipofungua kampeni za chama bora pale Jangwani...
  10. Don san tan

    What is amazing

    Kweli?
  11. Don san tan

    Hawa TBC 1 mbona chaneli yao inazingua sana? Hawapo digital?

    Jamani naomba kujua kama hawa TBC ni channel bado analogue au nao wapo ki- digital? Maana hawapo mubashara kama channels zingine. Wanapitwa hata na Channel za uchochoroni huko. Kwanini nao wasibadilishe mitambo? Jaribuni kwenda na wakati Bhana.
  12. Don san tan

    Chumba chetu tunakisafisha, majirani kuweni makini

    Chumba chetu kilikuwa na kila aina ya uchafu, hivyo sasa tumeamua kwa dhati kabisa kukisafisha. Naona mmeshaona Mende, kunguni, Panya, buibui na wadudu wengine wanavyosepa. Tumepulizia dawa ya kuwaangamiza wadudu woke warukao na wanaotambaa. Huko upande wa pili kuweni makini. Kuna hatari wadudu...
  13. Don san tan

    Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili

    Chadema msituzingue! Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili. HIVI NYIE MLIPOTA JA MAFISADI MLITUMIA SHERIA GANI? TENA MLIMTAJA HADI RAIS WA NCHI WAKATI ULE MHE. KIKWETE!!! NA RAIS MSTAAFU MHE. MKAPA!!! leo anatajwa Mbowe mnataka kuhamisha agenda na kuifanya ya Makonda peke yake...
  14. Don san tan

    Zingatia Ushauri huu wa kisheria

    Usilitaje jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye meseji za utani au vichekesho ambavyo lengo lake ni kuchekesha tu, isipokuwa kwa taarifa ambazo una uhakika nazo na zimethibitishwa na mamlaka husika, kinyume na hapo ni kosa kisheria, na unaweza kushitakiwa na Jamhuri, Unaweza...
  15. Don san tan

    Nini Tatizo kwa watu Walemavu kuhusu Ajira?

    Wakati kuna walemavu Asilimia chache sana wanaobahatika kupata Elimu hapa nchini. na wengi wa walemavu hawaendi Shule kabisa hii ni kutokana na Maisha yao kuwa Duni au mazingira ya Elimu kuwa Tatizo.
  16. Don san tan

    Jamani Kweli Mtu anayesema maneno haya anajielewa kweli?

    CCM imetetea jimbo lake moja kule Dimani Zanzibar, na kutetea pia kata zake 19, Chadema imetetea kata yake 1. Hakuna aliyepanda wala kushuka... Muhimu watanzania wafahamu kuwa mazingara ya chaguzi za marudio nchini ni ngumu sana upinzani kushinda, sio uchaguzi huu bali historia ya chaguzi...
  17. Don san tan

    Kinachojiri katika sherehe za mapinduzi ya Zanzibar kutoka uwanja wa Amani

    Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mwaka 1964 ili kumuondoa madarakani Sultani wa Zanzibar na serikali yake, iliyoundwa hasa na Waarabu , na hatimaye kuweka uongozi mikononi mwa Waafrika , ambao ndio wengi visiwani humo (230,000 hivi). Tarehe 12 Januari 1964 asubuhi na mapema, mwanachama wa ASP...
  18. Don san tan

    Weka hapa nukuu kutoka kwa viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Kila mmoja ajaribu kuweka Nukuu za Viongozi kutoka Upinzani. Mimi naanza kama ifuatavyo. 1} CCM sio baba yangu wala Mama yangu - Mh. Edward Ngoyai Lowassa. 2} Anayemuunga mkono Lowassa Akapimwe Akili - Mnyika 3} CCM wamempitisha fisadi Lowassa Kugombea Urais - Mbowe 4} Dictator uchwara...
  19. Don san tan

    Hatimaye Mheshimiwa Rais Magufuli kutembelea Kagera, Wapinzani mtakuja na ngonjera ipi tena?

    KAGERA Leo Rais wa Jamhuri wa Muungano Mh. John Pombe Magufuli anategemewa kuwasili mkoani humo kwa ziara ya siku mbili yenye lengo la kuwatembelea wananchi walioathirika na tetemeko la Ardhi lakini pia kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi kadhaa ya maendeleo ambayo yaliathiriwa...
  20. Don san tan

    ALIYEANDAA FILAMU YA BEN ALIKOSEA KUWAPANGA WAIGIZAJI WAKE

    BEN alitoweka ktk kipindi ambacho alikuwa akihoji uharali wa PhD ya Mh Magufuli. Wajinga wachache walianzisha propaganda mitabdaoni kujaribu kuhusisha kutoweka kwake Ben na alichokuwa akikihoji ili kumchafua Mh Rais na serikali yake. Lakini mpaka sasa inaonyesha kabisa maji yako shingoni maana...
Back
Top Bottom