Naomba nikiri Tu kuwa Huyu Mgombea tuliyemsimamisha Huko Buyungu ni mzee

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
562
433
Ukweli usiopingika Huyu Mgombea tuliyemsimamisha kugombea Huko Buyungu ni kikongwe na anahitaji kupumzika baada ya kulitumikia Taifa kwa Muda mrefu kama Mbunge na Waziri.
Naomba tusirejee tena kosa kama hilo la kuwapitisha wazee. Wacha wapumzike wale Pension fund Zao.
Hivi huko hakuna kijana wa kuweza kusimama mpaka apitishwe huyo?
Anyway ni Mbunge atakayetokana na CCM yetu tuungane tuwe wamoja.
Narudia tusirudie kosa la Kumpitisha Mzee sehemu nyingine yoyote ile. CCM tuna vijana wengi tena wasomi wakubwa sio kung'ang'ania wazee.
Tuwaache wazee wetu wapumzike.
Ahsanteni sana Nawatakia utekelezaji mwema.
CCM OYEEEE!!!!
 
Huyo ndiye usalama wa CCM
 
Kwa taarifa yako tu in kwamba Tume ya taifa ya uchaguzi inaona tofauti: Tume inamuona Chiza kuwa ndiye mdogo kiumri na anayefaa kuwa mbunge wa Buyungu. Na atatangazwa na tume kuwa ndiye mbunge wa Buyungu.

Huyu wa chadema japo ni mdogo kiumri lkn tume inamuona ni mzee asiyebebeka.

Ni hayo tu mkuu.
 
Ahahhaha, Sawa nakiri kweli tumekosa. Huyu wa Chadema ni mdogo nimtakaye lakini hawezi kujenga hoja ikasimama.
Analalamika tu jukwaani.
 
Mleta mada kifupi nikwambie hilo ndio tatizo alifanya Lowasa kudharau wazee akawa anakimbizana Na vijana akasahau kuwa kuna Amri ya Mungu inayosema waheshimu wazee upate heri iwe ya kisiasa Na maisha marefu duniani inasema waheshimu baba Na mama yako awe wa kuzaa au wa rkisiasa upate maisha marefu ya kisiasa ,kibiashara nk yenye heri duniani.Hicho kigombea chadema hakina heri ya wazazi wake kiishapiga mama yake makofi Na kikafukuzwa Na baba yake nyumbani hakitashinda.Kipagani wazee ndio washika mikoba iwe ya ushindi wa kisiasa nk ukiwadharau wazee imekula kwako hawakupi mikoba ya uchawi ya ushindi Lowasa alinyimwa Na hako katoto kabungu hata kama kiapagani hakashindi kwa dharau kalikonazo kwa wazee.Pia katiba inasema binadamu wote ni sawa hivyo hata babu Na Bibi ana haki ya kupiga kura Na kupigiwa kura.
 
yaani mimi niseme tu huyu mgombea wetu hauziki ,kila unapopita kumuuza tunaambiwa ni mzee, baadhi ya maeneo wanatuambia tunamuuza bata, hauziki kabisa
Hauziki kwa wananchi lkn kwa tume ya uchaguzi mzee/kikongwe Christopher Chiza ni lulu.
 
Ukweli usiopingika Huyu Mgombea tuliyemsimamisha kugombea Huko Buyungu ni kikongwe na anahitaji kupumzika baada ya kulitumikia Taifa kwa Muda mrefu kama Mbunge na Waziri.
Naomba tusirejee tena kosa kama hilo la kuwapitisha wazee. Wacha wapumzike wale Pension fund Zao.
Hivi huko hakuna kijana wa kuweza kusimama mpaka apitishwe huyo?
Anyway ni Mbunge atakayetokana na CCM yetu tuungane tuwe wamoja.
Narudia tusirudie kosa la Kumpitisha Mzee sehemu nyingine yoyote ile. CCM tuna vijana wengi tena wasomi wakubwa sio kung'ang'ania wazee.
Tuwaache wazee wetu wapumzike.
Ahsanteni sana Nawatakia utekelezaji mwema.
CCM OYEEEE!!!!
 
Ukweli usiopingika Huyu Mgombea tuliyemsimamisha kugombea Huko Buyungu ni kikongwe na anahitaji kupumzika baada ya kulitumikia Taifa kwa Muda mrefu kama Mbunge na Waziri.
Naomba tusirejee tena kosa kama hilo la kuwapitisha wazee. Wacha wapumzike wale Pension fund Zao.
Hivi huko hakuna kijana wa kuweza kusimama mpaka apitishwe huyo?
Anyway ni Mbunge atakayetokana na CCM yetu tuungane tuwe wamoja.
Narudia tusirudie kosa la Kumpitisha Mzee sehemu nyingine yoyote ile. CCM tuna vijana wengi tena wasomi wakubwa sio kung'ang'ania wazee.
Tuwaache wazee wetu wapumzike.
Ahsanteni sana Nawatakia utekelezaji mwema.
CCM OYEEEE!!!!
A.K.A WAZIRI MZIGO ( Kumbuka enzi ya Nape na Kinana )
 
Kwa taarifa yako tu in kwamba Tume ya taifa ya uchaguzi inaona tofauti: Tume inamuona Chiza kuwa ndiye mdogo kiumri na anayefaa kuwa mbunge wa Buyungu. Na atatangazwa na tume kuwa ndiye mbunge wa Buyungu.

Huyu wa chadema japo ni mdogo kiumri lkn tume inamuona ni mzee asiyebebeka.

Ni hayo tu mkuu.
Asante kwa Tume ya Taifa kwa kutoa ushirikiano
 
Ukweli usiopingika Huyu Mgombea tuliyemsimamisha kugombea Huko Buyungu ni kikongwe na anahitaji kupumzika baada ya kulitumikia Taifa kwa Muda mrefu kama Mbunge na Waziri.
Naomba tusirejee tena kosa kama hilo la kuwapitisha wazee. Wacha wapumzike wale Pension fund Zao.
Hivi huko hakuna kijana wa kuweza kusimama mpaka apitishwe huyo?
Anyway ni Mbunge atakayetokana na CCM yetu tuungane tuwe wamoja.
Narudia tusirudie kosa la Kumpitisha Mzee sehemu nyingine yoyote ile. CCM tuna vijana wengi tena wasomi wakubwa sio kung'ang'ania wazee.
Tuwaache wazee wetu wapumzike.
Ahsanteni sana Nawatakia utekelezaji mwema.
CCM OYEEEE!!!!
Miaka 65 ni mzee?
 
Back
Top Bottom