Don san tan
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 563
- 433
Jamani naomba kujua kama hawa TBC ni channel bado analogue au nao wapo ki- digital? Maana hawapo mubashara kama channels zingine. Wanapitwa hata na Channel za uchochoroni huko. Kwanini nao wasibadilishe mitambo?
Jaribuni kwenda na wakati Bhana.
Jaribuni kwenda na wakati Bhana.