Weka hapa nukuu kutoka kwa viongozi wa Vyama vya Upinzani

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
563
433
Kila mmoja ajaribu kuweka Nukuu za Viongozi kutoka Upinzani. Mimi naanza kama ifuatavyo.

1} CCM sio baba yangu wala Mama yangu - Mh. Edward Ngoyai Lowassa.

2} Anayemuunga mkono Lowassa Akapimwe Akili - Mnyika

3} CCM wamempitisha fisadi Lowassa Kugombea Urais - Mbowe

4} Dictator uchwara lazima apingwe kwa nguvu zote - Tundu Lissu

5} Chadema wote ni Kambale - Babu Duni

6} Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowassa - Mbowe

7} Richmond ni ya Kikwete - Tundu Lissu

Sasa na wewe jaribu kutukumbusha Nukuu Zako unazokumbuka kutoka Upinzani wa Tanzania. Yoyote ile ya wapinzani uchwara wa Tanzania.
 
"Asiyenitaka sisiemu ahame yeye mi sihami"-Edward Lowassa.

2} Anayemuunga mkono Lowassa Akapimwe Akili - Mnyika

3} CCM wamempitisha fisadi Lowassa Kugombea Urais - Mbowe

4} Dictator uchwara lazima apingwe kwa nguvu zote - Tundu Lissu

5} Chadema wote ni Kambale - Babu Duni

6} Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowassa - Mbowe

7} Richmond ni ya Kikwete - Tundu Lissu

Sasa na wewe jaribu kutukumbusha Nukuu Zako unazokumbuka kutoka Upinzani wa Tanzania. Yoyote ile ya wapinzani uchwara wa Tanzania.
 
Tuifikirie mama Tanzania...by Mbatia
Tanzania ni yetu sote by Mbowe
Tuuchukie umaskini by Lowassa
CCM imeishiwa pumzi by Kingunge
Tuheshimu utawala wa Katiba by Lissu
 
Niko tayari kwenda jela kwa kutetea mwananchi wangu. By Lema
 
Kila mmoja ajaribu kuweka Nukuu za Viongozi kutoka Upinzani. Mimi naanza kama ifuatavyo.

1} CCM sio baba yangu wala Mama yangu - Mh. Edward Ngoyai Lowassa.
CCM sio baba yangu wala mama yangu - Baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Vijana wa CCM, hivi mlikula maharage ya wapi? Ni malezi gani mnayopewa? Je ni yale yale ya Gadafi, Kuwait, Sadam na Libya?
 
Kila mmoja ajaribu kuweka Nukuu za Viongozi kutoka Upinzani. Mimi naanza kama ifuatavyo.

1} CCM sio baba yangu wala Mama yangu - Mh. Edward Ngoyai Lowassa.

2} Anayemuunga mkono Lowassa Akapimwe Akili - Mnyika

3} CCM wamempitisha fisadi Lowassa Kugombea Urais - Mbowe

4} Dictator uchwara lazima apingwe kwa nguvu zote - Tundu Lissu

5} Chadema wote ni Kambale - Babu Duni

6} Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowassa - Mbowe

7} Richmond ni ya Kikwete - Tundu Lissu

Sasa na wewe jaribu kutukumbusha Nukuu Zako unazokumbuka kutoka Upinzani wa Tanzania. Yoyote ile ya wapinzani uchwara wa Tanzania.
Mkuu wewe ni muongo mno.

Quotes number tatu na sita ni uongo Mbowe hajawahi kusema hivyo........Hata hiyo ya kwanza si ya Lowasa bali Mwl. Nyerere.
 
'Tukiendelea kuongelea ishu ya Ben Saanane tutawakera Watekaji wake na huenda wakamuua'- Kamanda wa Anga

'Watu waliposema tutamiss Kikwete sikuelewa Ila sasa naelewa kwanini walisema vile'-Godbless Lema
 
Mkuu wewe ni muongo mno.

Quotes number tatu na sita ni uongo Mbowe hajawahi kusema hivyo........Hata hiyo ya kwanza si ya Lowasa bali Mwl. Nyerere.
Unaonekana kudandia mambo usiyoyajua kwa kukana hiyo kauli sio ya Lowasa, rudi kawaulize wenzio tena
 
Back
Top Bottom