Nashukuru sana kilio changu cha ajira kwa walemavu kimesikika

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
562
433
Tutafakari kuhusu ukosefu wa ajira Tanzania

Hii ni mada niliyoianzisha juzi, nashukuru sana kwa kuweza kuisikiliza na Ajira kwa watu wenye Ulemavu za sisitizwa na Wizara husika.

Sasa kazi kwa Waajiri kutumia Sheria katika suala la kuwaajiri watu wenye Ulemavu nchini.

Wachangiaji wa uzi huo pia nawapongeza sana.
Karibu tuijenge Nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki viongozi wetu.

Ahsanteni sana kwa kusoma
 
Kwa serikali ipi? Hii ya kutumia polisi kuwadhibiti walemavu wanaoendesha baiskeli kwa mikono, wasioweza hata kutembea,wanatumia virungu na mabomu ya machozi kwa walemavu
 
Tafakari inaanzia na kuhoji maamuzi yasiyozingatia sheria yanayofanywa na Serikali ya CCM na kulitia hasara Taifa. Fedha hizo zingesaidia kuanzisha kiwanda ili kutoa ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutafakari kuhusu ukosefu wa ajira Tanzania
Hii ni mada niliyoianzisha juzi, nashukuru sana kwa kuweza kuisikiliza na Ajira kwa watu wenye Ulemavu za sisitizwa na Wizara husika. Sasa kazi kwa Waajiri kutumia Sheria katika suala la kuwaajiri watu wenye Ulemavu nchini.
Wachingiaji wa uzi huo pia nawapongeza sana.
Karibu tuijenge Nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu wabariki viongozi wetu.
Ahsanteni sana kwa kusoma

Ni walemavu hawa mlio wapiga kama waizi??

tapatalk_1498077206331.jpeg
 
Back
Top Bottom