Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
563
433
Chadema msituzingue! Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili.

HIVI NYIE MLIPOTA JA MAFISADI MLITUMIA SHERIA GANI? TENA MLIMTAJA HADI RAIS WA NCHI WAKATI ULE MHE. KIKWETE!!!

NA RAIS MSTAAFU MHE. MKAPA!!! leo anatajwa Mbowe mnataka kuhamisha agenda na kuifanya ya Makonda peke yake!!

Kama mbowe msafi kwanini anakataa kwenda [HASHTAG]#kuhojiwa[/HASHTAG]!!? Mbona wasafi wameenda kuitikia wito!

Mbowe nenda karipoti Polisi ili tukuone usafi wako na huo Ukamanda! Hivi wewe Kamanda gani unaogopa wito!!!

Watanzania wenye akili na uchungu na nchi yetu tuko na Makonda katika hili. Kama alivyosema KAMANDA SIRO, ukiwa msafi hutachafuliwa! Utahojiwa na mwisho utarudi kwako!

[HASHTAG]#Unaogopa[/HASHTAG] kwa niniiiiii?????????? Lazima utakuwa unafichaaaaaa!!!!!!!
 
Haya anavuta bangi, na haendi sasa!
Mmemtuma makndy mnafikiri mtamweza, mlimletea zengwe mpaka kwenye nyanya na kabichi mkaona haitoshi now mnamfananisha na Akina tunda tehtehteh...

Sirro kasema asipoenda haina Shida wao watamfuata!
 
Mbowe amekataa wito wa Makonda na wala hajakataa wito wa kwenda kuhojiwa kama wengi wenu mnavyotaka kuwaaminisha watu ... Kumbuka kuwa Makonda hana mamlaka wala nguvu ya kumhoji au kumuita mtu yeyote katika kituo cha Polisi iwe kwa mema au mabaya kazi hiyo na mamlaka hiyo wamepewa Jeshi la Polisi..

Wasioijua sheria wanazidi kuangamia na kuonewa kutokana na kutokujua haki zao za kimsingi.
 
Chadema msituzingue! Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili.

HIVI NYIE MLIPOTA JA MAFISADI MLITUMIA SHERIA GANI? TENA MLIMTAJA HADI RAIS WA NCHI WAKATI ULE MHE. KIKWETE!!!

NA RAIS MSTAAFU MHE. MKAPA!!! leo anatajwa Mbowe mnataka kuhamisha agenda na kuifanya ya Makonda peke yake!!

Kama mbowe msafi kwanini anakataa kwenda [HASHTAG]#kuhojiwa[/HASHTAG]!!? Mbona wasafi wameenda kuitikia wito!

Mbowe nenda karipoti Polisi ili tukuone usafi wako na huo Ukamanda! Hivi wewe Kamanda gani unaogopa wito!!!

Watanzania wenye akili na uchungu na nchi yetu tuko na Makonda katika hili. Kama alivyosema KAMANDA SIRO, ukiwa msafi hutachafuliwa! Utahojiwa na mwisho utarudi kwako!

[HASHTAG]#Unaogopa[/HASHTAG] kwa niniiiiii?????????? Lazima utakuwa unafichaaaaaa!!!!!!!
Wewe unafikiri kwa kutumia kitu gani?
 
Back
Top Bottom