Don san tan
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 563
- 433
Chumba chetu kilikuwa na kila aina ya uchafu, hivyo sasa tumeamua kwa dhati kabisa kukisafisha. Naona mmeshaona Mende, kunguni, Panya, buibui na wadudu wengine wanavyosepa.
Tumepulizia dawa ya kuwaangamiza wadudu woke warukao na wanaotambaa. Huko upande wa pili kuweni makini. Kuna hatari wadudu wanaotoka huku wakaingia kwenye Chumba Chenu.
Message Sent and received.
Tumepulizia dawa ya kuwaangamiza wadudu woke warukao na wanaotambaa. Huko upande wa pili kuweni makini. Kuna hatari wadudu wanaotoka huku wakaingia kwenye Chumba Chenu.
Message Sent and received.