Don san tan
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 563
- 433
CCM imetetea jimbo lake moja kule Dimani Zanzibar, na kutetea pia kata zake 19,
Chadema imetetea kata yake 1.
Hakuna aliyepanda wala kushuka...
Muhimu watanzania wafahamu kuwa mazingara ya chaguzi za marudio nchini ni ngumu sana upinzani kushinda, sio uchaguzi huu bali historia ya chaguzi zote tangu mfumo wa vyama vingi uanze...Uchaguzi unaruhusu dola kusaidia chama tawala ni ngumu kwa vyama pinzani kushinda hasa inapokuja ni eneo dogo la marudio tu, Sisi kama chama tunalojukumu la kujitathimini kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.... Zaidi ni kupigania mifumo huru ya chaguzi nchini..
Kimsingi ngoma ni droo.... Aliyeuza cheni kapewa hela bandia na aliyenunua cheni kapewa cheni bandia.....
Na Yericko Nyerere
NB.
kama wapinzani wenyewe ni kama Ndg huyu, kweli hatuna upinzani imara nchi hii....
Tuendelee kuwacharaza tu pamoja na nyomi la Rais wenu Wa mioyoni kule Kahama lakini mmekufa kifo Cha Mende Chaliii!!!!!!