Don san tan
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 563
- 433
Naomba wajikomboe kwanza wenyewe kabla hawajaja na ngonjera yao ya kuikomboa Tanzania kama wanavyodai wenyewe. Yaani wenyewe majungu tu ila wanakimbilia kusema wanataka kuikomboa nchi hii. Kweli mimi nakubaliana na kauli ya mheshimiwa Mkapa alipofungua kampeni za chama bora pale Jangwani.
Maneno ya yule aliyesema ndani ya CHADEMA wote ni kambale, sijui nani yule ni ya kweli kabisa.
Maneno ya yule aliyesema ndani ya CHADEMA wote ni kambale, sijui nani yule ni ya kweli kabisa.