Search results

  1. Chifunanga

    Kwa wanaoweka mafuta nyumbani

    Kwa wale mnao "ona mbali" nakuamua kuweka petroli majumbani kwenu. Kuweni makini, hiyo kitu ikilipuka madhara yake, ni bora ungekubali kutembea kwa mguu au kupanda baiskeli.
  2. Chifunanga

    Kitu kilikata network nini?

    Hapa vipi? mtambo ulikua down, tanesco wamekata umeme? Naona wataalam wanakuna maskio.
  3. Chifunanga

    Intelijensia: Maana, Dhana na Muelekeo

    Utangulizi Tokea 9/11 vyombo vya usalama wa taifa vimekua vikijihusisha zaidi na masuala ya ulinzi wa mipaka na kutafuta na kuzuia ugaidi. Vyombo vya usalama vya nchi nyingi vimefanya marekebisho makubwa baada ya ushauri uliotokana na ripoti na utafiti uliofichua mapungufu yaliyo enda...
  4. Chifunanga

    Website ya mahacker LULZSECURITY.COM ipo DOWN

    Website ya mahacker wapya ambao walihack website za FBI, CIA na US Senate, sasa hivi ipo down, na hivi karibuni wamehack website ya law enforcement ya Arizona. Wamarekani wanakaribia kupitisha sheria kuwa kuhack website zao ni ACT OF WAR...maana yake wanaweza kuwaIRAQ nchi yoyote...
  5. Chifunanga

    Abdallah Twalipo na Tumainiel Kiwelu: Vita na Uganda 1978-79

    Wadau, natafuta info kuhusu hawa jamaa, nimesikia walikuwa makamanda kwenye vita ya 1978. Mwenye info zaidi atumwagie hapa. Abdallah Twalipo na Tumainiel Kiwelu
  6. Chifunanga

    TISS (Usalama Wa Taifa): The best National Intelligence Ever!

    Moja ya kazi za hizi National Intelligences ni kuweka siri. Lakini mambo ya CIA, MOSAD, KGB na wengineo yapo kila sehemu. Ila hawa ndugu zetu wa TISS wamejitahidi katika hii section ya kuweka siri....yaani hawana WEBSITE, halawa TWITTER account, hawana FACEBOOK account, na wala hawa OFFICIAL...
  7. Chifunanga

    Fundisho la maisha kutoka kwa Mwalimu na vita ya Idd Amin

    Nadhani wengi wetu tunaufahamu msemo huu wa "Sababu tunayo, Nia tunayo na Uwezo tunao". Ni ile speech ya Mwalimu Nyerere iliyotolewa wakati ule wa vita zidi ya Nduli. Ila watu wengi hawajafikiria hii sentensi maana yake ni nini. Actually hii sentensi ina mambo matatu ambayo unahitaji ili...
  8. Chifunanga

    VodaCom ni mali ya Serikali/CCM ama?

    Hii mambo ya TRA kupokea malipo kwa kutumia M-PESA inamaana gani? Ninavyofahamu mimi, M-PESA ni value-added service kwa Vodacom. Na kulazimisha au kushabikia wananchi walipie services za serikali kwa kutumia M-PESA ni kama kuifanyika matangazo/marketing Vodacom. Kwa nini serikali isiseme watu...
  9. Chifunanga

    Symbion Power: Intelligence watupu

    Permanent Secretary in the Ministry of Energy and Minerals, David Jairo anasema kuwa discussions zimefikia final stage Discussions have reached the final stage, and we expect to unveil more details on the acquisition of the Dowans plant today, Wakati kwenye hiyo website ya SYMBION inasema kazi...
  10. Chifunanga

    Symbion Power acquires DOWANS Power plant

    Kuna article kwenye ipp media inasema DOWANS inataka kuuzwa kwa kampuni nyingine ya marekani SYMBION. Jamani tunachezeshwa mchezo huohuo kila siku mpaka lini. Nimejaribu kufuatilia website ya hii SYMBION, pale chini imeandikwa "© 2011 Symbion Power LLC": Kufuatilia domain yao ya...
  11. Chifunanga

    Hoja Za Kutaka Kupetezea Ishu Muhimu..CHADEMA msidanganyike!

    Watanzania tuachwe kupelekeshwa kama mambumbumbu. Mi sidhani kama CHADEMA walitakiwa kujibu hii hoja ya mshahara wa Dr. Slaa....huyu Nape amefanya maksudi ili mpotezee ishu muhimu zinazohusu nchi yetu. Mshahara wa katibu wa CDM au wa katibu wa CCM, au mshahara wa rais sio tatizo kwa...
  12. Chifunanga

    Ujumbe kwa wanawake wa Kieslam na waislam kwa ujuma, kutoka Mecca

    Nimeona niipost hii: yaani hiyo paragraph ya kwanza nimeipenda kweli....hehehehe
  13. Chifunanga

    Mahesabu ya Muungano

    1 + 1 = 1.5 kwa maneno mengine: tanganyika nchi kamili + zanzibar nchi kamili = tanzania nchi kamili . zanzibar nchi nusu. Kwa kifupi muungano haujatulia kabisa, BOTH kimahesabu na kimaana ya muungano.
  14. Chifunanga

    iPhone yako inarekodi kila sehemu unapoenda

    Kama ulinunua iPhone baada ya June 2010 (iPhone 4). Basi ujue imehifadhi sehemu zote ulizowahi kwenda tokea uiwashe. Info yote hiyo imehifadhiwa kwenye faili linaloitwa consolidated.db ambalo lipo kwenye simu yako. Ukitaka kuhakikisha, download program ya kumap kutoka hapa...
  15. Chifunanga

    Kamati kuu ya CCM imechakachuliwa

    Wadau, Nimepitia tovuti ya CCM na kuangalia wajumbe wa kamati kuu, maana kuna tetesi kuwa sijui akina lowassa na rostam wametolewa...... waliotolewa si wale wakina makamba tu, sio kila mtu? Anyways, pointi yangu ni angalieni hii list inasema kuna wajumbe 38, lakini naona kama hawafiki hiyo...
  16. Chifunanga

    WaTZ tuache kudanganywa kirahisi kwenye sakata la DOWANS

    Wadau, Naona kama tunapelekeshwa na sisi tunaenda kama upepo. Sasa kuna discussion ya NANI ALIPE deni la DOWANS. Hii discussion haitakiwi kuwepo kabisa. Issue sio NANI ALIPE....issue ni kwamba HAKUNA KULIPA KABISA. Tuache kupoteza muda kudiscuss nani alipe, kwa sababu tukiendelea na hii...
  17. Chifunanga

    Vyuo vikuu vinasaidia kuharibu nchi

    Title inaweza ikawa inatisha kidogo, lakini nadhani issue ya humu ndani sio kubwa sana, ila nadhani ni ya muhimu. Kwa mtazamo wangu, vyuo vikuu ikiwemo UDSM inasaidia kuipeleka nchi hii pabaya kutokana na wahitimu wake kuwa chini ya kiwango. Wahitimu hawajui kuandika CV na lugha ya...
  18. Chifunanga

    Nembo ya TISS na Ikulu

    Wadau, Kuna mtu ana nembo ya TISS au ya Ikulu? Nimejaribu kusearch online lakini sijazipata. Nafahamu kuna nembo ya CIA, FBI, The US president. Kuna nembo ya Jamhuri ya Muungano, hata Tanesco wana nembo, pia TRA, polisi, hata kiDowans nacho kina logo. Nataka kubadilisha Avatar.
  19. Chifunanga

    Wachina wanashushushu mitandao ya simu inayotumia Huawei

    Wadau, Wikileaks imetoa news kuwa kampuni ya China ya Huawei imekiri kutumiwa na China kufanya ushushushu. Kuna baadhi ya mitandao ya simu hapa nchini kwetu bongo ambayo inatumia mitambo hii ya Huawei. Source: U.S. cable throws more mud at Huawei - Networking - Technology - News -...
  20. Chifunanga

    Kijana mwenye furaha akioa lazima ataacha/achika (talaka)

    Inasemekana kuwa, kama ukiinjoi sana maisha yako ya ujana, basi hutakuwa na ndoa inayodumu, lazima utaacha au kuachika tu. Wanaomudu ndoa zao ni wale ambao wakati wa ujana wao walikuwa hawana furaha na hawana self-esteem, hawajithamini sana. na ndio maana wanajing'ang'aniza kwenye mahusiano...
Back
Top Bottom