Website ya mahacker LULZSECURITY.COM ipo DOWN

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Website ya mahacker wapya ambao walihack website za FBI, CIA na US Senate, sasa hivi ipo down, na hivi karibuni wamehack website ya law enforcement ya Arizona.

Wamarekani wanakaribia kupitisha sheria kuwa kuhack website zao ni ACT OF WAR...maana yake wanaweza kuwaIRAQ nchi yoyote itakayowahifadhi mahacker wanaohack website na networks za marekani.

Ukiitembelea kwa sasa utaona message hii:

This page (http://lulzsecurity.com/) is currently offline. However, because the site uses CloudFlare's Always Online™ technology you can continue to surf a snapshot of the site. We will keep checking in the background and, as soon as the site comes back, you will automatically be served the live version. Alternatively, you can retry the live version.
Always Online™ powered by CloudFlare | Hide this Alert
 
Mkuu are you sure!!!!!!fungua tena uone labda walikuwa wana update mambo yao tu

wapo hewani bwana!!!!
 
Website ya mahacker wapya ambao walihack website za FBI, CIA na US Senate, sasa hivi ipo down, na hivi karibuni wamehack website ya law enforcement ya Arizona.

Wamarekani wanakaribia kupitisha sheria kuwa kuhack website zao ni ACT OF WAR...maana yake wanaweza kuwaIRAQ nchi yoyote itakayowahifadhi mahacker wanaohack website na networks za marekani.

Ukiitembelea kwa sasa utaona message hii:

This page (Lulz Security® (LulzSec), the world's leaders in high-quality entertainment at your expense) is currently offline. However, because the site uses CloudFlare's Always Online™ technology you can continue to surf a snapshot of the site. We will keep checking in the background and, as soon as the site comes back, you will automatically be served the live version. Alternatively, you can retry the live version.
Always Online™ powered by CloudFlare | Hide this Alert

mbona ilikuwa hivyo tangu zamani! ujue kwamba wakali! site haitoki, itakuwa ipo hata iweje!
 
Back
Top Bottom